Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
30bn zinaweza kujenga viwanja vya wastani vyenye kiwango cha CAF, viwanja sita mkoani, mbali mbali, kama kile kilichopo St Mary's kitende kilitumia $1.5m ambao ni sawa sawa na $3bn za kitanzania huo ulikua mwaka wa 2012, na sasa hivi kina hold michezo ya CAF, ila Tanzania hapana, wizi kwa wazawa ni too much, mimi hata wakipendekeza wizara zingine zipewe DP world waziendeshe kwa niamba na sapoti tu.Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amefanya ziara Uwanja wa Benjamin Mkapa hivi
Ndio hivyo kuna wajinga awapendi jambo lolote jema kwenye hii nchi,sijui wanautapia mlo au wana maisha magumu!Cha ajabu kuna watu watakuja hapa kuponda hata hili.
Thd haitembei kabisa,ila ingekua jambo baya ungeona mafuriko hapa.Ndio hivyo kuna wajinga awapendi jambo lolote jema kwenye hii nchi,sijui wanautapia mlo au wana maisha magumu!
Osha nendeni mkampige faini MKANDARASI anayejenga hapo LUPASO, aliruhusu vipi hawa Viongozi kuingia eneo la Ujenzi bila KOFIA NGUMU na REFLECTOR? Hiii ni kuhatarisha Maisha ya Viongozi. Aidha mje na Majibu kwamba hakuna Ujenzi unaoendelea au Mtwambie kampuni iliyopewa kazi ni makanjanja wasio na weledi kazini. Hali hii inaaashiria kwamba kazi inayofanyika haitakuwa na ufanisi. OverKatibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amefanya ziara Uwanja wa Benjamin Mkapa hivi Septemba 17, 2023 jijini Dar es salaam kujionea ukarabati wa uwanja huo ambao utatumika kwenye ufunguzi wa michuano ya African Football League Oktoba 20, 2023.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ukarabati wa Uwanja huo Bw. Abel Shirima ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo amesema taa za uwanja huo zote zimetolewa na hatua inayofuata ni kutandaza nyaya za umeme ili kufunga taa mpya za uwanja huo.
Ziara ya Katibu Mkuu huyo ni utekelezaji wa maelekezo ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro aliyotoa hivi karibuni kutaka ukarabati wa uwanja huo ukamilike ifikapo Oktoba 15, 2023.View attachment 2752986View attachment 2752987View attachment 2752989View attachment 2752990
Siyo kuponda mkuu, sasa hapo anatoa maelekezo ya nini?Cha ajabu kuna watu watakuja hapa kuponda hata hili.
Nami nimeshangaaMbona cjaona kilicho kalabatiwa hapo zaidi y picha zao. Bila miundombinu y uwanja
kwa bilioni 35? si wangejenga uwanja mwingine mpyaaaa brand new kabisa? kwani huo uwanja mzima si ulijengwa kwa bilioni 50 tu? tumepigwa hapo. wanakarabati nini? au wanabomoa kuta wajenge mpya?Cha ajabu kuna watu watakuja hapa kuponda hata hili.