Kitendo cha watia nia wote waliotia nia tayari, kufanya hivyo kwenye kanda wanazotoka, naona kitajenga taswira ya ukanda na kuwafanya wananchi kuzingatıa hoja kuwa huyo ndo wetu. Kama ndivyo, Wasıra atakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi. Hii ni hatari kwa utengamano na umoja wa kitaifa. Nadhani wote wangefanya hivyo Dar au Dodoma ama majimboni/vıjijini mwao.