illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
kulikuwa na oparesheni usije mjini...hii ilianza zamani kidogo sasa kuna kamata kamata ya boxer mikoa mingi ya TZ uwe na kosa au bila kosa maadamu ni piki piki basi utakamatwa utaenda kujitetea huko huko kituoni kwa wanaosoma alama hii ni tafsiri ya kwamba boda boda hazitakiwi kabisa......tunasema akufukuzaye........