Ndugu
Kuna haka kamchezo kama ka kihuni hivi cha kukamata bodaboda maeneo ya fire.
Ni jambo la hatari sana. Muda huu kuna foleni kubwa fire kisa huu mchezo hala wakamataji naona ni kama wahuni fulani hivi, kwani hurukia pikipiķi au huikamata kwa nyuma bila dereva kuwa na taarifa. Mfano mida hii nusura tuwagonge vijana wawili mwendesha bodaboda na mkamataji.
Ndugu makonda tunaomba uangalie hili swala.