chardboy77
Member
- Aug 5, 2013
- 53
- 6
Naombeni msaada ndugu zangu, meno yangu upande mmoja umekumbwa na ukakasi zaidi ya wiki mbili sasa.
Hii ni nini na je kuna tiba ya hili tatizo?
Hii ni nini na je kuna tiba ya hili tatizo?
tumia dawa ya meno kupga mswak