Unauliza jibu mawazo mfu kama haya ni ya kada wa chama pendwa.We ccm nn?
Halafu unajifanya umefunga Ramadhani, bora ule tu, uzandiki ulioundika hapa umeshakuondelea swaumu.
We ni ACT nini?We ccm nn?
Zitto atawasumbua sana, kiufupi brain ya Zitto ni kubwa mno! ukubwa wa akili za KB92 hutafananisha na GB kadhaa, the guys is too logical, he knows issues, na Jamaa anamjua kuwa ni threat, njama zoteee hizi ni kumfanya awe weak ila kwa mlango mwingine ndo mnampa kick kubwa kinyume na matarajio yenu. mlishawahi kukaa na kujiuliza ni nini ambacho amehoji kinyume na taratibu na ni wapi ameongea jambo ambalo hali make sense? mwacheni aseme provide havunji katiba yoyote wala sheria za nchi. Zitto is my role model! thats it!
Hivi kweli ndiyo tuseme hakuna Lumumba anayetumia akili na kichwa/ubongo kufikiri zaidi ya TUMBO?Zitto atakuwa anatumika. Na wanaomtumia ni watu wanaomwaminisha serikali haiwezi mfanya chochote maana wao Wana nguvu ya kuizuia serikali.
Zitto anaaminishwa kama vile Lowasa alivyowaaminisha kwamba anakuja nawafuasi wa CCM. Walimuahidi lakini baadae wakamwacha na wafuasi kiduchu.
Ndiyo hivyo inavyoweza tokea kwa Zitto, wanakuaminisha ila baadae watakuacha usote pekee yako. Zitto, tumia akili acha kutumika badala yake fanya siasa safi. Utakuja juta
Hivi aliyoyaongea zitto wewe unaona sio sawa? Kuna mahali gani zitto kakosea? Kwa nini Hampendi kusikia ukweli?Ramadhani ndo nani? nielimishe plz.
Turudi kwenye maada, sisi tunaotoka kijijini tunafahamu namna gani ambapo wewe unapopata kikazi mjini na kuwasaidia kule kijijini wale unaowasaidia baadhi yao huamini kabisa wewe ni kigogo unaweza fanya lolote. Inafikia wakati wanaamini kabisa na wanakutumia vijana uwatafutie kazi wizarani, polisi ama hata ofsi ya Rais.
Hicho ndo kinatoa taswira kwa Zitto ya kwamba kuna watu kwa namna moja ama nyingine anawaamini sana ya kwamba wana nguvu kuliko Rais na serikali. Cha kumkumbusha tu Zitto ni kwamba Rais wa nchi za Afrika ana nguvu sana kuzidi mara kumi elfu mtu yoyote ktk nchi husika. Hapa namaana ya sitting president.
Namshauri tena Zitto arudi kwenye drawing table, anze siasa safi. Uwezo wa kufanya siasa safi na kupata umaarufu kupitia siasa safi anao.
Zitto atakuwa anatumika. Na wanaomtumia ni watu wanaomwaminisha serikali haiwezi mfanya chochote maana wao Wana nguvu ya kuizuia serikali.
Zitto anaaminishwa kama vile Lowasa alivyowaaminisha kwamba anakuja nawafuasi wa CCM. Walimuahidi lakini baadae wakamwacha na wafuasi kiduchu.
Ndiyo hivyo inavyoweza tokea kwa Zitto, wanakuaminisha ila baadae watakuacha usote pekee yako. Zitto, tumia akili acha kutumika badala yake fanya siasa safi. Utakuja juta
Wewe unamtumikia nani?Zitto atakuwa anatumika. Na wanaomtumia ni watu wanaomwaminisha serikali haiwezi mfanya chochote maana wao Wana nguvu ya kuizuia serikali.