Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,340
- 8,241
😆😆😆 Wauza uji tnWauza uji
😆😆😆 Wauza uji tnWauza uji
Mmmh[emoji23]Wauza uji
Naongezea wasanii wa kikeKama usipotumia ubongo wako vema misuli yako itafidia. Dada zetu mjue,Unapoona mwajiri wako anakupa kazi inayoutweza utu wako, basi jua unafanya ukahaba ulioboreshwa.
Maana sasa hivi umalaya umekua unatangaziwa bila ya aibu dadek....
Na hii ndio list ya kazi zenye mazingira hayo
1.massage center (parlour)
2.bar maid wanaoveshwa vikaptura na visketi vifupi
3.club stripper's (mnenguaji klabuni)
4.model wa mitindo ya nguo
5.ulimbwende (beauty)
6.video queen kwenye video za mziki
7.tasnia ya uigizaji(bongo muvi)
8.wahudumu wa lodge na utitiri wake
Na nyinginezo mtaongezea wakuu
Evidence video hapo chini [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2788900
Kuweni na tafsida vijana 😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌Iphone 15 promax 😆😆zinawafanya waingie sehem yoyote waruka mitaro
Naelewa sasa...Mmmh[emoji23]
Tafsida izingatiwe 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌Mawardat unaguna sana kama umemezeshwa mlimbiti thibitisha bc😆
😆😆😆Naelewa sasa...
Nimeona wameweka list ya mama lishe nikaona ina karibiana na hii ya mama uji 🙌🙌🙌😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
SPA ndo nini mkuu..?Message & SPA
UndergroundNaongezea wasanii wa kike
Chief kwani tumetiririka kama maji😆Kuweni na tafsida vijana 😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Ndo tafsida zenyewe hizo 👏👏👏
Ndiwoooo 😂😂😂😂😂😆😆😆 Wauza uji tn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mama lishe na hao wauza uji ni wamoja,Naelewa sasa...
Nimeona wameweka list ya mama lishe nikaona ina karibiana na hii ya mama uji [emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
we Jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]7. Girlfriendhood
8. Ndoa
😎😎😎Nawe unauza nini mama chakula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mama lishe na hao wauza uji ni wamoja,
Mie mama chakula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😁😁we Jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au naongopa ?we Jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Spa massage is a luxury massage in which services are performed to create a feeling of freshness on the face and skin.SPA ndo nini mkuu..?