Ukabila kuhusu mambo ya Uchaguzi

Ukabila kuhusu mambo ya Uchaguzi

Joined
Jul 9, 2015
Posts
13
Reaction score
1
Habari wanaJF,

Naomba kuuliza, hivi kwanini watu wanapenda kuleta ukabila kwenye mambo ya siasa? Utasikia Raisi hawezi kutoka kanda ya Kaskazini, utasikia wengine hawawezi kuongozwa na watu wa Kanda ya Ziwa. Sasa hapo tuelewe lipi?

Tuacheni ukabila kwenye mambo ya siasa jamani. Tukubaliane na hali iliyopo na kwenda kupiga kura kwa mtu stahiki.

Ni hayo tu nawasilisha..
 
Habari wanaJF, Naomba kuuliza, hivi kwanini watu wanapenda kuleta ukabila kwenye mambo ya siasa? Utasikia Raisi hawezi kutoka kanda ya Kaskazini, utasikia wengine hawawezi kuongozwa na watu wa Kanda ya Ziwa. Sasa hapo tuelewe lipi? Tuacheni ukabila kwenye mambo ya siasa jamani. Tukubaliane na hali iliyopo na kwenda kupiga kura kwa mtu stahiki. Ni hayo tu nawasilisha..
Ni mambo ya kawaida hata CHADEMA ni ngumu kuongozwa na mtu kutoka kigoma
 
Back
Top Bottom