Britain’s wana National shared values ambazo wananchi wameuziwa kutokana na propaganda zinazoambatana na tamaduni zingine za sherehe zao
Jeremy Corbyn was bound to loose the election the moment he was selected a leader simply because he doesn’t endorse a majority of those values.
Haya yote ni matatizo aliyoyatengeneza ‘Ed Milliband’ kwa kuweka ugumu wa kumuondoa kiongozi wa Labour, maana watu walijaribu kutokana na uelewa wasiasa zao isipokuwa kutokana na kanuni za chama ilishindikana.
Hila ‘Jeremy Corbyn’ kutokana na misimamo yake he was never going to win an election, pili kuna swala la trust and confidence ya kiongozi ni kitu muhimu sana kwa siasa za UK.
Personality ya kiongozi and trust worthy he can deliver is a major factor in convincing voters and he just doesn’t have it.
Haya ni mambo kwa watu wanaozielewa siasa za UK they can tell, it was obvious.