Ujumbe wangu wa leo

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957


Mgombea Uraisi atakayesema atabadilisha matumizi ya "yale" Magari Mapya ya Wizara ya mambo ya ndani kuwa Ambulance nahisi atakuwa amecheza kweli...
 
Duh! Hakuna uwiano kati ya vituo vilivyo vingi , makaazi ya askari na haya magari. Hata hivyo amani ni muhimu kuliko kitu chochote! Na je , amani italetwa kwa haya magari?
Msingi wa Amani ni Haki iliyo Wazi. Ni juu yetu Watanzania kujiandaa kupokea Matokeo yoyote ya Uchaguzi yaliyosimamiwa kwa haki sawa kwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…