Ujumbe wa WHO ulioenda China wasema hakuna uwezekano kuwa Virusi vya Corona vilianzia maabara

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
2,941
2,000
Mkuu wa Ujumbe wa Shirika la Afya (WHO) uliokwenda Wuhan Nchini China kuchunguza asili ya janga la Virusi vya Corona amesema hakuna uwezekano kuwa vilitokea Maabara.

Peter Ben Embarek kazi zaidi inahitajika kufanyika ili kubaini chanzo vya Virusi hivyo na kuongeza kuwa, uchunguzi umebaini taarifa mpya japokuwa hazijabadili sana taswira ya mlipuko.

Wataalamu wanaamini CoronaVirus ilianzia kwa wanyama kabla ya kusambaa na binadamu, lakini hawana uhakika ni kwa namna gani. Watu zaidi ya Milioni mbili wamepoteza maisha duniani kutokana na mlipuko huo.

=====

A team of international experts investigating the origins of Covid-19 have all but dismissed a theory that the virus came from a laboratory.

Peter Ben Embarek, the head of the World Health Organization (WHO) mission, said it was "extremely unlikely" that the virus leaked from a lab in the Chinese city of Wuhan.

He said more work was needed to identify the source of the virus.

The comments came at the conclusion of a joint WHO-China mission.

Wuhan, in China's western Hubei province, is the first place in the world that the virus was detected. Since then, more than 106 million cases and 2.3 million deaths have been reported worldwide.

Dr Embarek told a press conference that the investigation had uncovered new information but had not dramatically changed the picture of the outbreak.

Experts believe the virus is likely to have originated in animals, before spreading to humans, but they are not sure how.

Dr Embarek said work to identify the origins of Covid-19 pointed to a "natural reservoir" in bats, but that it was unlikely that this happened in Wuhan.

The experts said there was "no indication" that the virus was circulating in Wuhan before the first official cases were recorded there in December 2019.

Liang Wannian, an expert with China's Health Commission, said Covid-19 could have been in other regions before it was detected in Wuhan.
 

Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
4,246
2,000
WHO na hao wachunguzi na wataalamu wa maabara Uchinani wote wanafanya kazi moja -- kama pedeli na tairi -- ili kuharakisha NWO. These guys are unabashed.
 

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
9,382
2,000
China imesubiri Trump kaondoka madarakani wakaruhusu WHO kwenda China kuwasafisha!

Hiyo timu si ajabu imewekwa kwenye hoteli nzuri nzuri, wakapewa kila aina ya bata. Wakaishia kufanya ziara kwenye maeneo ambayo wachina wametaka baaaasi

Hakuna kitu pale, ni ziara ya kuwasafisha wachina tu!
 

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
6,025
2,000
Watatajana tu mataifa makubwa ndio wanajua kila kitu na ukweli wa mambo ni upi, tunanunulishwa barakoa, senitizer watu wanaenda kula bata huku wengine wakifa, itafika time tutamjua mchawi ni nani
 

ashera

JF-Expert Member
Aug 3, 2020
265
1,000
Haishangazi sana. Magonjwa mengi yahusishayo virusi huanzia kwa wanyama. Nashangaa watu wanavyoshangaa covid kuanzia kwa wanyama

Sent from my moto g power using JamiiForums mobile app
 

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
8,994
2,000
China imesubiri Trump kaondoka madarakani wakaruhusu WHO kwenda China kuwasafisha!

Hiyo timu si ajabu imewekwa kwenye hoteli nzuri nzuri, wakapewa kila aina ya bata. Wakaishia kufanya ziara kwenye maeneo ambayo wachina wametaka baaaasi

Hakuna kitu pale, ni ziara ya kuwasafisha wachina tu!

Sasa unataka kupingana na wana sayansi wenye weledi na uzoefu mkubwa katika masuala ya milipuko ya magonjwa Duniani - wameweka wazi kwamba hakuna ushahidi wa kutosha wa kuonyesha kwamba ugonjwa huo ulianzia Wuhan Uchina na si kwa kanda/zone nyingine hapa Duniani Duniani.

Binafsi naunga mkono maoni ya ujumbe wa WHO walio kwenda China kwa lengo kubaini ukweli kuhusu suala zima la COVID-19, wameonyesha ukomavu wa kutojali mashinikizo yanayo lenga Geopolitical bias, yaani kutumia man made majanga kujaribu kuhujumu kiuchumi taifa/mataifa ambayo yana onekana yanakuja juu kiuchumi na kijeshi.

Siyo siri kwamba hata COVID-19 ililenga kuangamiza kabisa nguvu kazi ya Wachina ili mwisho wa siku uchumi wa China uyumbe sana mwisho wa siku Uchina hisiwe tishio tena kwa Mataifa ya magharibi in terms of economic and military fields - Uchina hujuma hizo za magharibi walizitambua mapema sana ndio maana walipigana usiku na mchana kuhakikisha COVID-19 haisambai kwenye majimbo mengine ya Uchina, ugonjwa ulikuwa confined kwenye jimbo moja tu, kusema kweli Wachina wamefanikiwa kudhibiti ugonjwa huu in a record time, wakanusuru watu pamoja na taifa lao.
 

BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
7,679
2,000
Sasa unataka kupingana na wana sayansi wenye weledi na uzoefu mkubwa katika masuala ya milipuko ya magonjwa Duniani - wameweka wazi kwamba hakuna ushahidi wa kutosha kwamba ugonjwa huo ulianzia Wuhan Uchina na si kwa kanda/zone nyingine Duniani - binafsi naunga mkono maoni yao wameonyesha ukomavu wa kutojali mashinikizo yanayo lenga Geopolitical bias yaani kutumia man made majanga kujaribu kuhujumu kiuchumi taifa/mataifa mbayo yana onekana yanakuja juu kiuchumi na kijeshi - hata COVID-19 ililenga kuangamiza kabisa nguvu kazi ya Wachina ili Uchina hisiwe tishio tena kwa Mataifa ya magharibi in terms of economic and military fields - Uchina hujuma hizo za magharibi walizitambua mapema sana ndio maana walipigana usiku na mchana kuhakikisha COVI-19 haisambai kwenye majimbo mengine ya Uchina unabakia kwenye jimbo moja tu, kusema kweli Wachina wamefanikiwa kudhibiti ugonjwa huu in a record time, wakanusuru taifa lao.


Walishajiaminisha/aminishwa kuwa mzungu hawezi tenda ubaya....ndio maana wanamkomalia mchina ndie alietuletea hili gonjwa. Kamanda, Siku ikijulikana wazungu ndio sababu wa hili gonjwa, waswahili hawataonekana humu kwa aibu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom