Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,426
- 458,800
Daah hata sijui niandike vipi kukuelezea naandika nafuta katika maisha kuna mazingira unaweza kukutana na mtu unajiuliza alikua wapi siku zote.
Naishkuru JF kwa kunipa rafiki aliye mwema kwangu nakupenda sakayo wangu Mungu azidi kukuweka una roho ya pekee pale ninapokusumbua wala hujal kabisa nikivurugwa na stress zangu lazima nikukimbilie kama nalia tunalia wote kama nikicheka tunacheka wote.
Mungu azidi kukutunza nije kucheza kwaito yako Sakayo wa Transcend, shunie anakupenda munooooo