Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,321
kwel tupu aseehAsifanananishe zaman na sasa zamn kutoboa ilikua rahisi tofauti na sasa, zaman kujuana hakukuwepo mtu ukitoka chuo tyr unakazi, sahv mpaka usugue sana bench,
Zaman kama unamtaj ilikua rahis kufungua busn na ukapata faida, sahv fursa mpaka utumie akili sana. Inshort mtu anayepambana zama hv muheshim sana asee.
Apart from kuwa kama roll model kwa vijana wengi wa tasnia ya habari za michezo nahisi atakua kashawahi kurudisha kwa Jamii ingawa sina rekodi za matukio yakeKila mmoja kwenye maisha alishasota kwa namna yake.Mwambieni hiyo ni kawaida tu katika maisha.Cha msingi atujibu,tangu atoboe kimaisha jamii inafaidika naye vipi?
cha msingi?Kila mmoja kwenye maisha alishasota kwa namna yake.Mwambieni hiyo ni kawaida tu katika maisha.Cha msingi atujibu,tangu atoboe kimaisha jamii inafaidika naye vipi?
Sasa kama ni hiyari anatusimulia tufanye nini? Mafanikio yako kama hayaigusi jamii hayana maana kwetu,kaa nayo tu.cha msingi?
kwani alitoboa ili aje asaidia jamii au familia yake
hayo ni mambo ya hiyari
watu wanamind yeye kusafiriSasa kama ni hiyari anatusimulia tufanye nini? Mafanikio yako kama hayaigusi jamii hayana maana kwetu,kaa nayo tu.
Hao nao wana matatizowatu wanamind yeye kusafiri
sasa hawataki atumie hela zake?
Kauli mbiu inayotamba kule ni "FAKE IT UNTIL YOU HAVE IT"Nilishajitoaga insta na fesibuku maana hakuna chamaana zaidi ya kila mtu kujimwambafai na wanawake kuonyesha makalio yao tu.
Kwenye hiyo mitandao kila mtu ni tajiri na unaweza ukakata tamaa ya maisha kwa kujiona umechelewa sana
Naungana na wewe kwenye kumjibu huyo mwana Jamvi mwezetuSasa kama ni hiyari anatusimulia tufanye nini? Mafanikio yako kama hayaigusi jamii hayana maana kwetu,kaa nayo tu.