Wewe na kamati yako nawaogopa. Ni dizaini ile ikitokea nikakuona unakuja inabidi nibadili njia aisee. Au naweza kujitoa akili tu nikapambana kwa hali na mali mpaka nikala mzigo. Kamati yako dhidi ya mafurushi inaogopesha sana
Wikendi inaishaje lakini?