Ujumbe wa Leo huo hapo jamani.......

Hii inaonyesha kuwa wafanyakazi Tanzania hawajuwi kazi na majukumu yao ndiyo maana wanaogopa kasi ya Magufuli. Hawa ni kuwafukuza tu na kuleta wasomi walio vijiweni kuongoza hili taifa.
 
Mzizi Mkavu;
Umenipa tena uchangamfu. I was so bored kiasi nkayapitia ya zamani. Dah! Mtz hachelewi kutafuta suluhusho la matatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…