Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 10,986
- 20,401
Tunaomba radhi kuwa matawi yetu yanayofungua siku za Sikukuu kesho tarehe 01/01/2016 hayatofunguliwa. Huduma za ATM,Fahari Huduma na SimBaking zitaendelea kufanya kazi.
Sijaona tatizo hapo.Tunaomba radhi kuwa matawi yetu yanayofungua siku za Sikukuu kesho tarehe 01/01/2016 hayatofunguliwa. Huduma za ATM,Fahari Huduma na SimBaking zitaendelea kufanya kazi.
CRDB inaanza kuchoka I guessTunaomba radhi kuwa matawi yetu yanayofungua siku za Sikukuu kesho tarehe 01/01/2016 hayatofunguliwa. Huduma za ATM,Fahari Huduma na SimBaking zitaendelea kufanya kazi.
Nimeshangaa sana kwanini crdb wanafanya mambo ambayo yanakinzana na kasi ya karne tuliyopo nowCRDB inaanza kuchoka I guess
CRDB inaanza kuchoka I guess
Simply kwa kutofungua matawi yake kama zamani wakati wa sikukuu kama hizi.Inaanzaje kuchoka?
Simply kwa kutofungua matawi yake kama zamani wakati wa sikukuu kama hizi.
Rudi darasani ndugu usome kitu kinaitwa "customer experience " au "customer expectations " alafu uje hapa tujadiliane!Kati ya siku 366 umekosa siku nyingine zaidi ya leo?
Ujifunze kutumia features za kibanki sio lazima uende bank physically.
Rudi darasani ndugu usome kitu kinaitwa "customer experience " au "customer expectations " alafu uje hapa tujadiliane!
Pole sana mkuuWalikuwa na visa na mimi, tangu nimekuja kanda za ziwa takribani mwezi sasa sijachukua pesa yangu huko. Jana nimeingia ATM kadi imegoma kutoa pesa, nikaambiwa nichunguze mda wa kadi yangu wakati kadi inaisha mda wake mwaka 2018. yaani CRDB wameniweza sana! alafu usiku wamenitumia hiyo sms, nikaamua kukesha kwenye mtandao tu! maana hamu ya kulala ikaisha kabisa. CRDB wanataka waniue ugenini huku!
Mkuu mbona kuna simbanking...dunia kwa sasa ipo kiganjani..unaweza ukawa upo kitandani na ukafanya miamala yote
Ulitaka wafanye kazi?Nimeshangaa sana kwanini crdb wanafanya mambo ambayo yanakinzana na kasi ya karne tuliyopo now
Ulitaka wafanye kazi?