Mheshimiwa naona kama haujaeleweka sana hapa, wanaume wa dar ni wapi hasa? Wazaliwa wa Dar au wale walioamia? Manake Umesema kukaa na kunywa kahawa kwenye joto, wakati huo huo unazungumzia kuhusu kufunga duka. Ebu naomba elezea vizuri ueleweke. Inawezekana ukawa una point ila ndo hivyo umeshindwa kuipangilia labda.
Tena mwambie Zanzibar wanakula urojo hatari, Pemba kwa kahawa usipime ila mtiti wake watu wanaujuaa...
Kwanza wanaume watanganyika wote waogaa...yani mmeshindwa kudai serikali tatu? na wingi huo? Wawakilishi wenu wameishia kutiana ashki majinuuni tu bunge LA katiba......Angalieni mwanasheria mkuu wa Zanzibar alichokifanya...yule ndo kielelezo cha wanaumee.....
Na wanaume wa Dar ni kielelezo cha wanaume wa Tanganyika...since Dar kuna mchanganyiko wa kila kabilaa....
So let me conclude wanaume watanganyika wooote wachumba tuu......ntatengua kauli kama mkiikataa katiba pendekezwa...
Duh sasa hii hatari. Ni ngumu kabisa kuelewa ulichoandika, mara wachumba, mara serikali tatu, mara katiba. Duh humu jamvini inabidi uwe na kifua.
Tena mwambie Zanzibar wanakula urojo hatari, Pemba kwa kahawa usipime ila mtiti wake watu wanaujuaa...
Kwanza wanaume watanganyika wote waogaa...yani mmeshindwa kudai serikali tatu? na wingi huo? Wawakilishi wenu wameishia kutiana ashki majinuuni tu bunge LA katiba......Angalieni mwanasheria mkuu wa Zanzibar alichokifanya...yule ndo kielelezo cha wanaumee.....
Na wanaume wa Dar ni kielelezo cha wanaume wa Tanganyika...since Dar kuna mchanganyiko wa kila kabilaa....
So let me conclude wanaume watanganyika wooote wachumba tuu......ntatengua kauli kama mkiikataa katiba pendekezwa...
Hivi panya road walifika kitunda kweli,mitaa yote inayotajwa kitunda siioni,wadau wa kitunda vipi panya waliwatembelea?
Panyaroad kwani hawajui cku chache zilizopita kulikua na utahiri wa wakurya bado moran wa kikurya hawajapona vizuri wana hasira na mapanga waliyokabidhiwa lazima yatendewe haki,lazima panyaroad ashtuke
Kwahio kwa akili yako unafikili hii serikali yako itakuletea ndege zsizo na rubani! Hujawahi kujiuliza kwanini jeshi letu lipo vzuri sana ardhini? Hata Amini alikuwa vzuri angani ,lakini nini kilimpata!Wamerakani pamoja na nguvu zao kijeshi na kuwasidia wairaki hujiulizi kwanini ObOMA HAPELEKI JESHI LA ARDHI KUPAMBANA Na ISIS!. Unafikili vita ni teknolojia!
nyie huko zenji mmeikataa!
mbona wanaume wenu huko walipiga kura za siri?
mmesahau mlivyokimbilia Mombasa?
mmesahau kuwa huko ccm haishindagi urais lakini ndo wanatangazwa washindi?
Wanaume wa Dar hawana tofauti na kaka zako kina amiiii!!
yaani dada kama upo dar jiadhari panya road watakula kitu mbele ya mme wako
Sitaki kuingia kwa undani kuhusu ubora wa jeshi letu. Lakini kilicho sahihi kwenye hoja yako ni kuhusu vita. Vita vipo vya aina mablimbali kuna vita baina ya taifa moja na jingine, na kuna vita vya ndani (wenyewe kwa wenyewe). Boko haram, watutsi na wahutu, car civil war nk hawahitaji technolojia na siraha za kisasa bali ujuzi wa hali ya juu wa upelelezi/ujasusi na wa mapigano katikati ya umma. Panya road ni makundi ya kihalifu ambaye yakiachiwa yanaweza kuja kubeba sura yoyote ya ama kidini, kisiasa, kikanda au kikabila. Yanangoja ufadhili, mafunzo na oganaizesheni, na itikadi mwafaka. Kwa hiyo kupambana nayo hakuhitaji magari makubwa ya kisasa ya kijeshi bali askari (wa jeshi la polisi/wananchi) jasiri na wazalendo waliofunzwa kupambana na wahalifu hawa. Kwa hiyo ujuzi wa kutembea!, kupenya, kukimbia, kuchunguza, na kupigana mitaani (martial arts/street fighting)wahitajika. Askari wetu hayo ni mafunzo kwao kwa sasa. Hatupambani na marekani sisi
wanaume wa dar wengi mario hahaha mleta mada nimekupenda bure. badala wawakabili panya road eti wao wanakimbia
weeee mi nipo chuga kwa wanaume si huko kwa watoto wa kiume. Mhmhmh hii mada kiboko jamani
Tena mwambie Zanzibar wanakula urojo hatari, Pemba kwa kahawa usipime ila mtiti wake watu wanaujuaa...
Kwanza wanaume watanganyika wote waogaa...yani mmeshindwa kudai serikali tatu? na wingi huo? Wawakilishi wenu wameishia kutiana ashki majinuuni tu bunge LA katiba......Angalieni mwanasheria mkuu wa Zanzibar alichokifanya...yule ndo kielelezo cha wanaumee.....
Na wanaume wa Dar ni kielelezo cha wanaume wa Tanganyika...since Dar kuna mchanganyiko wa kila kabilaa....
So let me conclude wanaume watanganyika wooote wachumba tuu......ntatengua kauli kama mkiikataa katiba pendekezwa...
Panyaroad kwani hawajui cku chache zilizopita kulikua na utahiri wa wakurya bado moran wa kikurya hawajapona vizuri wana hasira na mapanga waliyokabidhiwa lazima yatendewe haki,lazima panyaroad ashtuke
mpaka mmoja akafa, mitaa ya KB LODGE kule Mwanagati!
kitunda ni tawi la kanda ya ziwa. panyaroad hawawezi kwenda
Lakini hii mada ina ukweli ndani yake.....wazawa wa DAR wana asili ya ulege lege......hata huku JF kutwa nzima wanashinda SELEBRITI FORAMU....
Kwa kweli sisi wa mikoani tutaanza kuwaoa wanaume wa dar kama mmekimbia vitoto vya miaka 19