Ujumbe mzuri sana huu!!

Ujumbe mzuri sana huu!!

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
6,707
Reaction score
3,360
...GREATE WIT DRIVES AWAY WISDOM...
...
Waungwana habarini?
Wagonjwa muhali gani?
Wapumba.vu poteeni!
Inzi mnatujaziaa!!!
...
Kuna Memba nawapenda,
Siwezi kufanya inda,
Hadi mwenyewe naganda,
Vile wanavyochangiaa!!!
...
Siwezi taja majina,
Coz wapo wengi sana,
Hata walojiunga jana,
Bado nawafagiliaa!!!
...
Memba wengine vimeo,
Kwa ule upuu.zi wao,
Wa kujiona ndio wao,
Mwanzo wamejiungiaa!!!
...
Wengine ni wanaume,
Baba miraba minne,
Mshangao kwa wengine,
Wanawake kuwadhaniaa!!!
...
Hudhaniwa m/ke,
Kwa ule uchokunaku wake,
Kiburi na pozi zake,
Nataka jitongozeaa!!!
...
Wengine walinifunza,
Kupiga na kupuliza,
Hongera nawaongeza,
Leo yanajirudiaa!!!
...
Mkamilifu hakuna!
Hata Asha na Zinduna!
Msamaha kuombana,
Pale tunapokoseaa!!!
...
Sio kiburi na nongwa,
Kama mwari wa Usanga!
Siwezi kukwita Punga!
Bado sijajitafuniaa!!!!!!!!
........
........
Kunguru muoga hukimbiza ubawa wake!!!!!
 
...GREATE WIT DRIVES AWAY WISDOM... ... Waungwana habarini? Wagonjwa muhali gani? Wapumba.vu poteeni! Inzi mnatujaziaa!!! ... Kuna Memba nawapenda, Siwezi kufanya inda, Hadi mwenyewe naganda, Vile wanavyochangiaa!!! ... Siwezi taja majina, Coz wapo wengi sana, Hata walojiunga jana, Bado nawafagiliaa!!! ... Memba wengine vimeo, Kwa ule upuu.zi wao, Wa kujiona ndio wao, Mwanzo wamejiungiaa!!! ... Wengine ni wanaume, Baba miraba minne, Mshangao kwa wengine, Wanawake kuwadhaniaa!!! ... Hudhaniwa m/ke, Kwa ule uchokunaku wake, Kiburi na pozi zake, Nataka jitongozeaa!!! ... Wengine walinifunza, Kupiga na kupuliza, Hongera nawaongeza, Leo yanajirudiaa!!! ... Mkamilifu hakuna! Hata Asha na Zinduna! Msamaha kuombana, Pale tunapokoseaa!!! ... Sio kiburi na nongwa, Kama mwari wa Usanga! Siwezi kukwita Punga! Bado sijajitafuniaa!!!!!!!! ........ ........ Kunguru muoga hukimbiza ubawa wake!!!!!
Lovely
 
...GREATE WIT DRIVES AWAY WISDOM...
...
Waungwana habarini?
Wagonjwa muhali gani?
Wapumba.vu poteeni!
Inzi mnatujaziaa!!!
...
Kuna Memba nawapenda,
Siwezi kufanya inda,
Hadi mwenyewe naganda,
Vile wanavyochangiaa!!!
...
Siwezi taja majina,
Coz wapo wengi sana,
Hata walojiunga jana,
Bado nawafagiliaa!!!
...
Memba wengine vimeo,
Kwa ule upuu.zi wao,
Wa kujiona ndio wao,
Mwanzo wamejiungiaa!!!
...
Wengine ni wanaume,
Baba miraba minne,
Mshangao kwa wengine,
Wanawake kuwadhaniaa!!!
...
Hudhaniwa m/ke,
Kwa ule uchokunaku wake,
Kiburi na pozi zake,
Nataka jitongozeaa!!!
...
Wengine walinifunza,
Kupiga na kupuliza,
Hongera nawaongeza,
Leo yanajirudiaa!!!
...
Mkamilifu hakuna!
Hata Asha na Zinduna!
Msamaha kuombana,
Pale tunapokoseaa!!!
...
Sio kiburi na nongwa,
Kama mwari wa Usanga!
Siwezi kukwita Punga!
Bado sijajitafuniaa!!!!!!!!
........
........
Kunguru muoga hukimbiza ubawa wake!!!!!

kwangu ujumbe mzuri i huu "Kunguru muoga hukimbiza ubawa wake!!!!!"
 
Leo kuna Mutu naisubiria hapa!
Hiyo Mutu huchangia kila thread inayoanzishwa, Jf photo ndio usiseme kule!
Naishangaa inachungulia na kusoma comment zenu then anapotea kidizaini!
...
Sjui nimwite?!!!!

Bukheri kabisa besti.....hapa burudani!!
 
Back
Top Bottom