Ujumbe mzito sana, must read

Huu usemi,kwenye kozi za military huwa upo!.kujilimbikizia mali kwa wanasiasa ndio chanzo kikubwa cha umaskini Africa na kwingineko
 
Wameusoma magamba
Ufisadi hauishii CCM tu, uko kila mahali, nasikia kuna watu wengine walihongwa magari, na wengine mamilioni ya pesa ili kuminya upinzani usishiriki kwenye uchaguzi kwenye baadhi ya majimbo 2010
 
MSALANI Huyu ni mzungu au mlemavu wa ngozi?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…