Ujumbe mzito - Lugha ya Picha

Mi naona Jokate tu analia baada ya Ali Kiba kuoa mke ampendaye na kumnyamazisha na ua lililokauka/lisilo na thamani (hapo juu picha ya kwanza).
 
Hapo umepatia yaliyo kweli katka picha hizo
mm naona ni UKATILI WA KINGONO KWA PICHA ZOTE
Mada imegonga katika mahusiano ya kingono yanabeba
  1. pesa
  2. upendo wa ua kunyauka,
  3. vizawadi
  4. na kuogofya kunakotokana na DINI
 
1, Money makes silence in whatever case/situation
2,Love makes somebody not able to talk the truth.
3, Rapers forces the raped girls not to talk the truth
4, Even religion can limit you to talk the truth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…