Ujumbe muhimu kwa wababa

Mbona huja balance nyumba haiharibiwi na baba tu, hao wenzetu wana yao, wana mapungufu yao,
Leo ni spesheli ya wababa tuu... Ya wamama yaja usikonde

Jr[emoji769]
 
Ishini nao kwa akili. Bado natafakar mkuu
 
Mkuu hiyo mistari ya biblia uliyonukuu mbona haiendani kabisa na ujumbe wako! Naona watu wanapongeza tuu... ubarikiwe mtumishi...! Vinginevyo ushauri wako naukubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unapiga miguu yote kama Ronaldo Cr7 ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…