Ujumbe muhimu kwa wababa

Hivi mkuu ni kwa hawa wanawake wetu wa siku hizi.
Ukizubaa unaambiwa unaenda mbele kama warudi nyuma
 
Unaweza ukatimiza yote bado akakuona boga! Ni kuishi nao kwa hekima, kama huna hekima, unajiandalia kaburi
 
Unaweza ukatimiza yote bado akakuona boga! Ni kuishi nao kwa hekima, kama huna hekima, unajiandalia kaburi
Mungu anaona... Mbingu zinatazama... Kuna karma...

Jr[emoji769]
 
Niko kwenye wakati mbaya saana na mke wangu kutofautiana na mama mama yangu and it's her fault na mi nimekwazika saana. Hata sijui nifanyeje
 
Niko kwenye wakati mbaya saana na mke wangu kutofautiana na mama mama yangu and it's her fault na mi nimekwazika saana. Hata sijui nifanyeje
Usikimbilie kuchukua maamuzi yoyote bali msikilize sana Mungu...

Jr[emoji769]
 
Mbona huja balance nyumba haiharibiwi na baba tu, hao wenzetu wana yao, wana mapungufu yao,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…