Ujumbe maridhawa

Yes, its true, i comply with u sir.!:yield:
 
Naomba ujumbe mwengine maridhawa
 
Ooyooo jamaani mnatukosesha uhundo kwa lugha ya kigeni na sisi hatukujaliwa shule za gharama na mjitahidi na tafsiri ya lugha ya kibantu angalau na sisi wavimba macho tuwe tunacheka kwa pamoja na hata na hii ya kitaifa nayo tuna bobota kama gari la spana mkononi na hii naona ni safi kama usiku wa raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…