"""".....naomba mnipelekee ujumbe kwa 'kinyozi'
kwamba sasa hivi ni zamu yake kunyolewa. Na vinyozi ndo sisi.
Siku moja akiulizwa swali bungeni,.,.juu ya ni kwanini miradi ya ujenzi
wa barabara zote ianzie kwingine na kuja kuishia kwetu(jina nalihifadhi)
kwa nini miradi ya ujenzi huo isianzie huku kwetu na kwenda kumalizikia
huko kwingine????
Mzee huyu wa KUROPOKA alijibu..'huwezi kumchagulia kinyozi aanzie wapi, kukunyoa'!!!
Ndo maana ninasema mpe salamu! Mwaka huu ni zamu yetu kumnyoa na tuna mnyoa tunavyotaka.
Na kama haamini akamwombe Jaji Lubuva uthibitisho,,,Tar 25 October???
Nilisemalo,.,.nina uhakika nalo!
Tanzania inazaliwa UPYA October 2015!!!!!!...""""""""