I can tell Class, Brain, Character kwenye hizo. Heshima kwao
haha - mpango ni kuelimika si lazima ku-graduate. Bill gates haku-graduate!
unapotea, bill gates ni zaidi ya graduates na wala hakwenda harvard kufuata vyeti, usipotoke.
Show me classless one...
sante totoooNimeupenda wa Evelyn Salt
Mi nimeipenda hii...nimeupenda huo wa it takes a real man
Mi nimeipenda hii...
Allah said: Fear not, Indeed, I am with you both; I hear and I see
surat Taha; verse 46