buffaro89
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 592
- 378
Hongera sana mama, kwa kukalia kiti na mamlaka ya kuamua au kukataa kitu furani ukiwa wewe kama wewe lakini siku zote binadamu hata ungekuwa na elimu kubwa kiasi gani, aimaanishi ndio unaweza ukatoa maamuzi sahihi ya kuiongoza nchi.
Pia kumbuka unao ongoza ni watu na hao watu, wanamatatizo na changamoto zao katika maishayao kwa ujumla.
Kwanini unaweka vikwazo, vingi vingi miongoni mwa watu wanaotaka kujiendeleza kielimu. Huoni tanzania ni nchi pekee inayo kumbatia elimu ya kukalilishwa na inayozalisha wahitimu wanao tegemea kuajiliwa na sio kujiajiri.
maamuzi haya ya elimu, je yamefanyiwa utafiti?
Data sahihi ni pamoja na kuwashirikisha wananchi, hii nchi sio ya watu wachache jamani muwe mnafanya research ni kwanini watu wanafeli,changamoto zipi zinazo wapelekea watu hawa washindwe kufanikiwa! kuferi shure mara nyingine sio kwa sababu mtu hana akiri darasani usisahau nchi yetu ni masikini kuna watu shida zao zinawaathili katika masomo yao, lakini kauli mnazo zitoa kama viongozi. mnawaita ma failers.
Unapandisha GPA ili iweje? boresheni mitaala ya ufundishaji na curriculum za kila level.
Level za elimu ni international recognized, certificate, baada ya hapo ni diploma na baada ya hapo ni degree na kuendelea. sasa hatuelewi vikwazo vinatokana na nini mtu ashindwe kuunganisha anapo toka diploma na kuenda degree.
Mtakuja kugundua kwamba hapo kinacho tafutwa ni status na cheti, lakini baada ya hapo muhitimu huyo hana kingine cha kufanya zaidi ya kutegemea kuajiriwa!
Serikali iumize kichwa kutengeneza wasomi watakao zarisha katika sekta zote na sio ku deal na vitu ambavyo sio kipa umbele sana na impact yake haizarishi chochote.
Mkumbukeni Marehemu Joseph Mungai, jinsi alivyo fanya katika kutoa maamuzi binafsi ya kubadilisha mitahara ya elimu. Alifuta masomo ya biashara,alifuta michezo,aliunganisha masomo ya physics na chemistry kuwa somo moja! lakini mwisho wa siku impact zake zilikuwa ni mbaya kupita kawaida.
Sasa hivi tena makosa yanaludi tena kwa mfumo mwingine unao kuja kama uboreshaji kumbe ni uharibifu. Elimu hizi tumekopi ng'ambo na mitahara ni hivyo hivyo, vitabu ni hivyo hivyo.
Leo hii tanzania tujifanye kama tunaijua sana elimu kuliko hata walio anzisha.
hata meri hatuwezi kutengeneza,electronics hatuwezi kutengeneza,magari na vyombo vyote vyamoto na visivyo vyamoto, tumeshindwa kutengeneza, hata kiwanda cha kusindika nyanya tuu! tumeshindwa,kilimo tumeshindwa, iyo elimu inasaidia kufanya nini sasa kama sio kutafuta status na hazi ya umiliki wa kisomo.tunakumbatia elimu kwa viwango vya juu lakini ni elimu useless.
Uchumi wetu utategemea sana kilimo,lakini mikakati ya kilimo mbona hakuna, masomo ya kilimo mbona hayapewi kipa umbele,secta ya utalihi inakosa afya pia.
tukisema technologia sio kweli, elimu inayo tolewa haina ubora!
Ni hayo tuu! wananchi tuna umia sana pale tunapo ona nchi inaongozwa kama familia za majumbani kwetu.