Ujumbe kwa wana MMU wote!

mzee wandimu

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2011
Posts
470
Reaction score
232
Mungu akikuacha katika Hali fulani, Basi mshukuru Wala Usilalamike!Kwani Yeye ndie Akujuae zaidi.
Pia Usidhani kama Maisha Yamekamilika kwa mtu Yeyote; kuna Mwenye Nyumba hana Gari, kuna
Mwenye Gari Hana Watoto, kuna mwenye watoto hana pesa, kuna
Mwenye pesa Hana Afya, kuna
Mwenye Afya Hana Kazi,kuna
Mwenye vyote lakini hana amani wala furaha.Mshukuru Mungu kwa kila jambo.Bwana akulinde na kukuangazia yaliyo mema.Siku njema.
 
Amina.maneno kama haya husaidia sana kumkumbuka MWenyezi Mungu.
 
Kabla ya yote na kuangalia kama Mungu amekutupa kwanza tujiangalie wenyewe;-
Hauna mali; Je umetafuta hizo mali na kufata kanuni za kupata mali
Afya ina migogoro; Je unacheki afya yako na kujijali mfano unapata malaria kila mara (je unaepuka mbu)?
Hauna Imani wala Furaha: Je ni nini kinakufanya usipata furaha ?

In short furaha ya mtu haitokani na mafanikio wala kupata kitu ni hulka ya mtu, kama wewe ni masikini asiye na furaha au tajiri asiye na furaha hata ukiwa masikini au tajiri bado utakuwa hauna furaha...
 
Neni hilo!
Asante kwa kutukumbusha sababu ya Kumshukuru Mungu.


  1. When upon life's billows you are tempest-tossed,
    When you are discouraged, thinking all is lost,
    Count your many blessings, name them one by one,
    And it will surprise you what the Lord hath done.
    • Refrain:
      Count your blessings, name them one by one,
      Count your blessings, see what God hath done!
      Count your blessings, name them one by one,
      *Count your many blessings, see what God hath done.
      [*And it will surprise you what the Lord hath done.]
  2. Are you ever burdened with a load of care?
    Does the cross seem heavy you are called to bear?
    Count your many blessings, every doubt will fly,
    And you will keep singing as the days go by.
  3. When you look at others with their lands and gold,
    Think that Christ has promised you His wealth untold;
    Count your many blessings-*money cannot buy [*wealth can never buy]
    Your reward in heaven, nor your home on high.
  4. So, amid the conflict whether great or small,
    Do not be discouraged, God is over all;
    Count your many blessings, angels will attend,
    Help and comfort give you to your journey's end.
 

^^
Oo! God I name this blessing too Kaunga
^^
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…