Wapo watumishi wengi wa serikali wenye malipo duni zaidi ya walimu lakin hawasikiki na walimu wanasikia sana kwa sababu ya uwingi wao na si vinginevyoHakuna anayepinga sekta ya elimu nimoja ya sekta muhimu sana ila ajabu nipale sekta hii kukosa ule mvuto nakukosa hadhi hasa upande wa uma......
Haiingii akilini wamachinga wapige kelele kidogo tu mkuu wa nchi aingilie kati kwa kuwakingia kifua kwa kisingizio hao ndiyo waliompa kura.....
NYINYI WALIMU
Sindiyo mnao simamia uchaguzi...
Sindiyo mnalipa kodi kuliko machinga.....
Sindiyo mnao tegemewa kufuta ujinga....
Sindiyo mlisema raisi ni mwalimu au alikuwa machinga....
Walimu ndiyo watumishi peke yenu hamna posho...
Walimu ndiyo watumishi peke yenu mnawaajiri zaidi ya mmoja.....
Walimu ndiyo watumishi peke yenu hamna malipo ya muda waziada...
Walimu ndiyo mnaongoza kupigwa makofi kutolipwa stahiki zenu kwa wakati n.k.....
Ila pamoja na yote hayo sijawasikia hata mkimuomba raisi au wazir mkutane na kujadili.....
Msije mkaniona mbaya ila ukweli CWT hamna mnachofanya mnanyonya wenzenu.Nyie ndiyo mnasauti zao mmekaa kimya mnahangaika na bank Sijui ndiyo itawaongezea mshahara au posho
wa....nga ndo waliwaoHakuna anayepinga sekta ya elimu nimoja ya sekta muhimu sana ila ajabu nipale sekta hii kukosa ule mvuto nakukosa hadhi hasa upande wa uma......
Haiingii akilini wamachinga wapige kelele kidogo tu mkuu wa nchi aingilie kati kwa kuwakingia kifua kwa kisingizio hao ndiyo waliompa kura.....
NYINYI WALIMU
Sindiyo mnao simamia uchaguzi...
Sindiyo mnalipa kodi kuliko machinga.....
Sindiyo mnao tegemewa kufuta ujinga....
Sindiyo mlisema raisi ni mwalimu au alikuwa machinga....
Walimu ndiyo watumishi peke yenu hamna posho...
Walimu ndiyo watumishi peke yenu mnawaajiri zaidi ya mmoja.....
Walimu ndiyo watumishi peke yenu hamna malipo ya muda waziada...
Walimu ndiyo mnaongoza kupigwa makofi kutolipwa stahiki zenu kwa wakati n.k.....
Ila pamoja na yote hayo sijawasikia hata mkimuomba raisi au wazir mkutane na kujadili.....
Msije mkaniona mbaya ila ukweli CWT hamna mnachofanya mnanyonya wenzenu.Nyie ndiyo mnasauti zao mmekaa kimya mnahangaika na bank Sijui ndiyo itawaongezea mshahara au posho
SII DABILYUU TIII nini mbona povu!Unatoa ushauri au unaamua kuonyesha weledi wa domo lako kuharisha kashfa
kafanyaje sasaMwalimu nyerere
Na wenye watoto kama mnaridhika na matokeo ya watoto wenu basi, walimu hawana shida ya maslahi bora! Watausimamia uchaguzi ujao na kuhakikisha ushindi wa kishindo kwa chama partner na cwt kisha watawekwa pembeni kama gauni la bi harusi baada ya kufunga ndoa kusubiri kukodishwa!Walimu kama wanaridhika na kipato chao hakuna haja ya kuwaiga machinga.
Walimu wanafurahia sana utawala wa awamu hii.Na wenye watoto kama mnaridhika na matokeo ya watoto wenu basi, walimu hawana shida ya maslahi bora! Watausimamia uchaguzi ujao na kuhakikisha ushindi wa kishindo kwa chama partner na cwt kisha watawekwa pembeni kama gauni la bi harusi baada ya kufunga ndoa kusubiri kukodishwa!