Ujumbe kwa wale wote mnaoagiza magari kutoka nje. Usipite bila kusoma hapa

Duuh hii inaitwaga ngumu kumeza...... Kama hutaki subr yakukute
Sema unatuumiza roho tulipitiaga mazingira hayo Aiseee

Pole sana ila now ushapata elim huwez pigwa, ukiwa mjanja hawa jamaa huwa wanaangalia na wakuwapiga wakiona hujui kitu kuhusu gari na sio mfuatiliaji lazma wakulize.

Juzi kati hapa nimeshusha gari ya sista yangu dualis jamaa akataka kuleta stori eti betri imekufa nikamwambi mjapan kanambia hio gari mimi natakiwa kubadili oil tu kila kitu kipo sawa hadi document za service yagari ikiwa japan me nazo unataka sema nn, ooh si unajua gari imekaa muda baharin nikamwambia itoe leta tuibust. Muda kidogo akasema bhs gari imewaka nikamwambia mimi mtoto wa mjin fala weewe, uyo tukakutana water front kanipa ndinga moto siwaachii gari kabisa
 
Ndugu habari za jion, Kuna jambo nimeona tuambiane ukweli ili tuelimishane kidogo.

Kuna watu watu wanaagiza magari nje kupitia agents au mawakala mbalimbali mbaya zaid kuna agents wengine sio waaminifu kabisa.

Mtu anakwenda kwa agent amchagulie gari, amsaidie malipo yaani kila kitu anafanya agent wewe unasubir gari tu ifike upewe tena unakuta gari umeiangalia juujuu kisa unamwamni agent wako acha ufala asee.

Sasa mambo yanayofanyika ni hatari mpaka huruma yani hawa jamaa wanabadili vitu vingi sana watu wanapigwa hela nje nje kama unavojua watu wengi hatuna elim ya magari. Inauma sana kwakweli.

Hawa jamaa wanawabadilishia taa , fan na time belts, battery nk hivi ndo nashuhudia live. Mimi nimefungua ofisi yangu mitaa ya huku sokoine karibu na port view sasa huku ndo gari zilizotoka bandarin ndo zinazagaa sana unakuta gari inakaa mpaka wiki 2 kwa wakala unajiuliza ina maana mwenye gari hana taarifa? Kama ni ishu za tbs jamaa anashindwa kufix tatizo mapema?.

Hapa ofisn mimi nafanya polishing, painting, nauza lubricants nk sasa wengi huwa wanakuja kupata huduma, juzi kuna jamaa kaja na crown athelete kupiga ribiti sasa jamaa akampigia simu mwenye gari, maongezi yao yalikua hivi nanukuu “ tajir mambo vipi gari yako imefika toka juzi sasa nimeshamalizana na TRA bado TBS kwasababu gari betri imekufa na belts zote zimeisha tumeambiwa tuchange ili gari ipewe certificate ndo tukafanye usajili na gari ikiendelea kukaa hapa bandarin inachajiwa mkuu”

Jamaa akapaniki “ndomana nimekupa kazi betri sh. Ngap jama akamwambia chukua la mtumba la crown kama yako jamaa anauza achana naya dukani bei 250k na belts 270k za mtumba crown original, jamaa akasema nakutumia chap, jamaa anaongea ukituma mapema leo leo gari inatoka mpaka plate No. . Jamaa hakuchukua hta dk5 akatuma hio pesa walichofanya jamaa wakaisafisha ile betri wakabandika plate No. hao wakasepa boya kashaliwa. Ikabandikwa pale DXM kumbe gari ilikua imesajiliwa tyr.

Mwingine huyu alikua dada amepigwa kama
Laki6 kweli kupiga ribiti, kuosha engine na kufanya service laki6??. Jamaa anakuagizia gari imepauka hatari ikifika bongo anakupigia polish inanga’a fresh hizi gari kila siku tunapiga polishi na kurudia rangi ,au kama kuna michubuko anarudia rangi wewe huwezi jua. Ni matukio mengi siwez sema yote.

Sasa gari ambazo zinafanyiwa ma service ya ajabu ni hzi BMW na marcedes nyingi utakuta mara power window imekufa, sijui nn nilimuuliza jamaa akasema wengi wanaagza hizi gari kwa mihemuko anachukua ya bei rahs ilimradi na yeye awe na bmw matokeo yake gari inafika na matatizo lukuki.

Ushauri wangu agiza gari mwenyewe mpe agent kazi ya kufanya clearing tu, fatilia meli ilobeba gari yako mwanzo mwisho ikifika tu lazma agent anajua fatilia hatua zote anazofanya kama gari inashida mara nyingi tbs mtasumbuana kwenye tairi kama unachochote wape usipoteze muda kama una pesa mwambie atoke na gari wewe ichukue gari yako usimwachie kabadili tair hapo gari ushaichek angle zote.

Kama unatumia agent hakikisha anakupa picha za gari zote na malipo fanya wewe usimpe yeye afanye malipo hapa wengi wanalizwa, agent atakuagizia gari ya kawaida ili apate faida zile high quality hawezi sababu bei ni kubwa itamkata. Ogopa sana huu utapeli kuagza toyota ist ni 13.5m awamu ya kwanza utalipia 7m afu utamalizia 6.5m ogopa sana huu utapeli.

Kuna agent wengine ni waaminifu ila tatizo la wale wanaokwenda kule kufanya clearing bossy hawez kwenda bandarin atatuma vijana watu hawaaminiki asee watu wanajiongeza sana. Watu wana njaa nyie kuna jamaa tulimwambia tunataka taa za subaru OG akasema nipeni siku3 kuna gari inatoka soon kweli akaleta taa
Unafikiri katoa wapi?

Sema nini watu wanashusha mandinga makali sana asee daah .
Ishi sana mwanangu,,,ubarikiwe saaana
 
Mkuu mimi ni kampuni lazima nitoe huduma nzuri kuna tofauti na wale wa chini ya mti. Mimi nakupa na warranty mkuu sifanyi kazi kwa kubahatisha. Polish vipi? Gari haijafubaa bado
Mkuu naomba orodha ya bidhaa kwenye kampun yako je unauza jumla??
 
Hapo kwa TBS ndo patamu
 
Hatari sana aisee
 
Asante Sana
 
Back
Top Bottom