Ujumbe kwa wadada wapenda hela

Sio fresh, wewe umepapaswa na mwanamke kwenye kaptula yako then kakutafutia kazi afu sahivi unaanza hizo mambo sio poa...
Bora nawe ufanye kuwapapasa kina dada uwape kazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ASA nimpapase nan ? Hamjitokezi
 
Sio fresh, wewe umepapaswa na mwanamke kwenye kaptula yako then kakutafutia kazi afu sahivi unaanza hizo mambo sio poa...
Bora nawe ufanye kuwapapasa kina dada uwape kazi
Hahaha
 
Kweli mkuuu.....Unakuta mwanamke mpaka anatulia ,, kashuka vituo 20 naaaaaa...

Daaahhh wao wanajipaga moyo ivi "" aaahhh siuzuri namimi napunguza genye ..ooohhh siwala haniachii alama ..ooohhhhh sinabaki nayo wala haendi nayooo ""

Viumbe wakuhurumia hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…