Ujumbe kwa wadada wapenda hela

venchwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
2,223
Reaction score
3,169
Hapa mjini kila mtu mhangaikaji, tatizo vijana na mabinti wa mjini wakiona mtu ana gari au nyumba nzuri wanafikiri pale ndio kuna maisha wanamkimbilia huyo, wakishakaa pale wanagundua naye anabangaiza tu kama wengine

Ushauri wa bure, wakati mwingine bora utulie tu ujipange mwenyewe, ukitafuta sana pa kupumzika utashuka vituo vingi!

Tafakari na Chukua hatua.

Nesi wa Mugabe kasema hivi

" kuna madada wanapenda hela sikuhizi wameanza kuwapenda watoto wadogo kisa wana mashilingi kichwani"
 
Hihihihih
Sio fresh, wewe umepapaswa na mwanamke kwenye kaptula yako then kakutafutia kazi afu sahivi unaanza hizo mambo sio poa...
Bora nawe ufanye kuwapapasa kina dada uwape kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…