Ujumbe kwa viongozi wa CHADEMA

Ujumbe kwa viongozi wa CHADEMA

Mzunde

Senior Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
141
Reaction score
104
Kwanza kabisa nianze kutoa salamu kwa kila mwana jamvi.
Habari zenu wakuu.

Leo nimekaa nimefikili mengi sana juu ya viongozi wa chadema na serikali hii ya awamu ya tano.
Kwanza kabisa nashindwa kuelewa ni nini uongozi wa juu kabisa wa chadema unafikilia au unamkakati gani juu ya uvunjwaji mkubwa wa demokrasia unaoendelea nchini, chadema kama chama kikuu cha upinzani hapa nchini wanaonekana kushindwa kabisa kukimbizana nakasi ya serikali hii ya awamu ya tano.
Chadema ni chama chenye watu makini sana wenye kujua sheria namambo mengi yanayohusu siasa, uchumi, nahata pia mambo ya kijamii.

Nilianzakupata wasiwasi mkubwa sana baada yakuona kauli nyeti zinazotolewa na chama kukosa muendelezo nakuusimamia msimamo wao kama chama nakubaidili maamuzi ya misimamo yao ghafla mala baada yakupata vitisho flanflan kutoka serikalini.

Dr. Mashinji, Mbowe nawenzako acheni uoga nakutengeneza stori zaajabu nauwoga juu ya mambo muhimu yanayoikumba nchi yetu.
Lamuhimu sana kwasasa ni hili lakukamatwa wana chama wale wote wanaongea nakuitetea demokrasia ya nchi na niwanachama wa chadema wamekamatwa lakini mnachelewa kutoa matamko .

Ben Saa Nane ametoweka hajulikani alipo mpaka leo ni siku ya 24 lakini uongozi unachelewa kutoa tamko juu yakupotea kijana huyu hamuoni kama mnawafanya wapambanaji wengine kama Malisa Gj, Daniel Naftal Ngoga, nawengine wengi wapate woga wakuendelea kufichua maovu yanayofanywa na serikali hii.
Mnawavunja moyo wanachama wenu, wanaonekana hawana utetezi wowte kutoka kwenu. Hizi operation mnazointroduce hazina maana kama mnashindwa kuwatetea wanachama wenu wanapopata majanga makubwa kama haya ya Ben na Lema.

Acheni woga usio na maana toeni tamko juu ya uaribifu unaoendelea kufanyika.
 
Umelalamika sana halafu mwishoni umesema watoe tamko.Siamini kama Tamko ndio suluhu ya malalamiko yako.Nenda mbele zaidi ya hapo kama sivyo bado hujatoa ushauri wowote.
 
Umekula maharagwe ya lini mkuu?

Back
Top Bottom