Mtanzanyika
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 368
- 425
MHESHIMIWA RAIS.!
Ebu mtazame huyu Mwalimu hadi aibu mhhh!!! najua mwezi wa saba mlimuongezea mshahara mkamuongezea na kodi na makato mengine kwa taarifa nilizo nazo takehome yake haijaongezeka hata kwaTsh 50,000
Huu ni mshahara wake wa mwezi June,2015
MHESHIMIWA TAFADHARI SOMA LABDA WEWE UNAWEZA UKAWA MKOMBOZI WA HUYU MWALIMU
Mnamuingizia mshahara wa Tsh 370,000
mnamkata kodi kila mwezi Tsh 20,448
mnamlazimisha ajiunge na mifuko ya hifazi ya jamii kama vile PSPF na LAPF alafu hawa nao wanamkata kilazima Tsh 18500 kila mwez
bima ya Afya lazima kila mwezi Tsh 11100
hapa sijawataja akina Chama Cha Walimu ambao si lazima nao huwa wanachukua kuanzia 10 kwenda juu
mwisho huyu mwalimu unakuta anachukua Tsh 319,952
Angalia sasa matumizi ya huu mshahara hadi huruma!!
Hakuna nyumba ya shule hivyo amepanga chumba na sebure ya hovyo Tsh 75,000
kila mwezi anatakiwa kulipa bili ya umeme Tsh 20,000
hajaweka vocha ya kubip kwa mwezi Tsh 5000 tu
Nauli ya kwenda kufata mshahara NMB kakuta bonge la foleni ikabidi ale kwa ma ntilie sokoni TSH.5000 tu pamoja na nauli
Walimu wengi wametokea familia duni kawatumia kapesa kidogo wanunue mahindi wasage wale Tsh 40,000
Asa balaa linakuja kwenye mahitaji ya familia MHESHIMIWA USIACHE KUSOMA!!
kwa siku anatumia ndoo tano za maj ye na familia yake kudekia,kuoshea vyombo,kupikia,kuogea n.k@ndoo 200 x 5 =1000 kwa siku! inamaana kwa mwezi atatumia Tsh 30000 hapo sijahesabu ndoo zinazotumika siku ya kufua
MHESHIMIWA USIDHARAU SOMA TU!!!
Ananunua sembe kg 25= Tsh 25000
Ananunua mchele kilo 20=Tsh 40000
Mafuta lita10= Tsh 35000
Maharage kg 10= Tsh15000
MHH!! HURUMAAAA!!!!!!
Sukari kg 5= Tsh 10,000
vitafunwa kwa siku ye na mkewe vya Tsh1000 kwa mwezi = 30,000
vitunguu vya kuungia maharage kwa mwezi na chumvi = Tsh6000
USICHOKE MHESHIMIWA SOMA TUU SIACHI KITU LEO!! NA VYOTE HIVI KILA MWEZ LAZIMA VIFANYIKE
Kanunua sabuni mafuta dawa ya meno kampa mke wake akasuke " twende kilioni" ya Tsh 3000, kiwi ya viatu vyake, kunyoa ndevu (si unajua mwl haiba) minimum= Tsh 20000 kwa mwezi
ANGALIA SASA MHESHIMIWA huyu mwl unakuta katumia Tsh 356,000 kwa mwezi
Sasa JIULIZE hizo zilizozidi kazitoa wapi? au unafikiri kuna jambo nimeliandika halina umuhimu au nimelitaja kwa Tsh kubwa kama lipo lipunguze uonavyo au liondoe halafu angalia tena huo mshahara mnaomlipa UNAMTOSHA?
SIJAMALIZA MHESHIMIWA naona kama umechoka ILA KAMA UNA HEKIMA UTAENDELEA KUSOMA
Mheshimiwa mkiona hamuwezi kumuongezea mshahara huyu mtumishi wenu basi mpeni walau POSHO YA MALAZI maana alijalibu kuitafuta kwenye tution na kuuza bagia saa nne mkamkataza
Mkimuita halmashauri au manispaa basi mpeni walau POSHO YA USAFIRI mnamuumiza jamani!!
Anapojitolea kufundisha masomo ya jioni mpeni walau POSHO YA OVER TIME mumfariji akuze elimu ya Tanzania
MHESHIMIWA NISIKUCHOSHE NIKUACHE UTAFAKARI UKIONA HUNA MUDA WA KUTAFAKARI ANDIKA KATIKA NOTE BOOK YAKO UTATAFAKARI BAADAE USIPUUZE!!!
MUNGU akubariki katika utendaji wako