acha uzushi wewe, kuna udini gani katika ujumbe huo. Message iliyomo humo inalihusu taifa full stop. Huhitaji kuongeza wala kupunguza. Ongelea suala la ujumbe uliomo humo na si suala la nani kasema. Wimbo huo ungeimbwa na Komba wa TOT mngeuweka kwenye kampeni za CCM, akiimba Abiud unasema sisi maopportunisity! what a shame?