Hii inaitwa mbuzi kagoma, ingekuwa ngamia unapiga dua mbili anakubali mwenye tena anatenga na shingo uchinje, lakini hawa wanyama ni shida, inabidi na wewe uwe mwehu upande ukamchinje huko huko. kwa sisi makafiri unarusha jiwe la kichwa anaanguka chini mzoga kisha unamchinja.