Ujumbe katika picha

Unaonaje na nyumba za wageni nchini mwetu wakianza kutoa mabango ya maoni na tahadhari kama haya kwa wateja wao?
 
Kwetu wangeweka bango hili "MWANAMME ASIYEWAKO HURUHUSIWI KUINGIA NAYE HUMU NDANI.
 
Kwa tz kitu kama hiki hakiwezekani.
Jamani nawasilisha hoja tu.
 
mh na sisi ambao huwa tunatoka mbagala kwenda tandika tunapumzika kwa aziz ally pale guest house tungekuwa hatupati chumba...tehe tehe teh
 
mh na sisi ambao huwa tunatoka mbagala kwenda tandika tunapumzika kwa aziz ally pale guest house tungekuwa hatupati chumba...tehe tehe teh

Hapo sasa,wengi wa wateja kwenye kitabu wanaandika KUTOKA-DSM, KWENDA-DSM,na kwengine hata kitabu hamna ukitoa hela tu unapewa chumba sana sana wanauliza unalala au kupunzika tu.
 
Gesti nyingi ingebidi wafunge kwa kukosa wateja,wateja wao wengi ni hao wanaoibana mke wa mtu/mume wa mtu.

Inanikumbusha baa moja jamaa waliokuwa wanapenda kwenda ni wezi wa wake za watu, basi siku moja mchizi akaingia na baruti akapiga moja ya magarini jamaa walizania vibaka baada ya hapo akasema leo naua mtu aliye na mke wangu!!!! By the time watu akili zinarudi waliobakia pale baa walikuwa ni wanawake na wahudumu tu.
 
Unaonaje na nyumba za wageni nchini mwetu wakianza kutoa mabango ya maoni na tahadhari kama haya kwa wateja wao?

Kipato kitashuka kwa wamiliki wa gesti na hao wanawake wanaojiuza. Bango hilo la nini kwa watu wazima? Kwa watoto wa shule sawa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…