Ujumbe katika picha, hii umeelewa nini?

Tumebaki na MITANDAO tu ambayo angalau inathubutu kuhoji, kutoa mawazo mbadala, inakosoa, hayo mnayofanya serikali. BUNGE mmeua. Limekuwa NEC ya CCM. Vyombo vya habari mmevikaba koo. Vingine vimejifia kimyakimya. Upinzani ni kama haupo. Sasa mnatuwinda mitandaoni. Baadaye iweje?
 
[emoji15]..ok....
 
Haina ujumbe wowote. Pia haijapigwa karibuni, hiyo kaitoa maktaba.
 
Nlichoelewa n magari mengi yanaenda mjini muda wa asubuhi kuliko yanayotoka mjini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…