Heshima kwenu wakuu!
Leo wakati wa taarifa ya habari ya saa moja ITV habari ya kwanza ilikuwa kuhusu kuwasili nchini kwa wanamuziki wa kikundi cha PSquare. Mimi nilishtuka kidogo, kwa kuwa tumezoea kusikia habari muhimu kitaifa zikipewa kipaumbele wakati wa taarifa za habari.
Sasa ujio wa hawa wasanii una umuhimu gani kitaifa? Kwa wananchi wa kule vijijini ambao hawana hata uhakika wa mlo mmoja kwa siku hii taarifa ina umuhimu gani? Hata kwa wananchi walio nje ya Dar es Salaam ambao hawategemei kuhudhuria tamasha la wanamuziki hao hizi habari zina manufaa gani?
Naomba michango yenu kuhusu hili wadau.
lazima wewe utakuwa ni RugeHeshima kwenu wakuu!

hili ni jambo la kawida sana mkuu,.
Tatizo tumeshajenga mazoea kwamba habari za kitaifa kusomwa kwanza,..
Huu ni mfumo tuliouzoea mkuu,.
Hakuna cha kushangaa hapa kwanza ITV ni Independent Television kwa hiyo wanafanya kile ambacho kina maslahi kwao kwa kuzingatia kanuni za kiuandishi wa habari na kufuata taratibu kutoka mamlaka ya mawasiliano TCRA,.
Wanao uhuru wa kufanya walichofanya,...
mjinga wewe hujui kuwa hiyo ni biashara?! habari za kitaifa zipo Tv uhuru hata TBC wenyewe sometimes wanaoparate kibiashara. shangaa mambo mengine
Heshima kwenu wakuu!
Leo wakati wa taarifa ya habari ya saa moja ITV habari ya kwanza
ilikuwa kuhusu kuwasili nchini kwa wanamuziki wa kikundi cha PSquare.
Mimi nilishtuka kidogo, kwa kuwa tumezoea kusikia habari muhimu kitaifa
zikipewa kipaumbele wakati wa taarifa za habari.
Sasa ujio wa hawa wasanii una umuhimu gani kitaifa? Kwa wananchi wa
kule vijijini ambao hawana hata uhakika wa mlo mmoja kwa siku hii
taarifa ina umuhimu gani? Hata kwa wananchi walio nje ya Dar es Salaam
ambao hawategemei kuhudhuria tamasha la wanamuziki hao hizi habari zina
manufaa gani?
Naomba michango yenu kuhusu hili wadau.
Jamani mm nilitaka kupita na zangu lkn nikaona si busara kutotoa hata hili dogo nilijualo! Ukituma maombi ya kuanzisha TV ama Radio station pale TCRA, una-mention madhumuni ya hicho kituo chako, kwa mf:
Kwa maana hiyo hv vituo havipaswi kulaumiwa kwa kulaumiwa pale wanapozipa kisogo habari ama mambo ya kitaifa kwa kuwa hawajasaliwa kwayo, hata TCRA wanajua, na ndio maana huwa hz Radio zinafungiwa pale zinapojihusisha na mambo mengine mf Siasa wkt si jukumu lao!
- Radio Maria (dini-ukristo)
- Radio Tumaini (dini-ukristo)
- Radio Imani (dini-uislam)
- Radio Sauti ya Qur-an (dini-uislam)
- Clouds Fm (Entertainment)
- Uhuru Fm (Politics - CCM)
- ITV (business)
- n.k.
Bado nipo jamani!
Kwa mara ya kwanza for ma life nimeona Katavi umechangia kwa mistari zaidi ya mitatu(aka kwa maneno mengi zaidi) ...duh kumbe unaweza eeh??
Katavi huwa anakuwa short and clear sijui leo thread imemgusa
Heshima kwenu wakuu!
Leo wakati wa taarifa ya habari ya saa moja ITV habari ya kwanza ilikuwa kuhusu kuwasili nchini kwa wanamuziki wa kikundi cha PSquare. Mimi nilishtuka kidogo, kwa kuwa tumezoea kusikia habari muhimu kitaifa zikipewa kipaumbele wakati wa taarifa za habari.
Sasa ujio wa hawa wasanii una umuhimu gani kitaifa? Kwa wananchi wa kule vijijini ambao hawana hata uhakika wa mlo mmoja kwa siku hii taarifa ina umuhimu gani? Hata kwa wananchi walio nje ya Dar es Salaam ambao hawategemei kuhudhuria tamasha la wanamuziki hao hizi habari zina manufaa gani?
Naomba michango yenu kuhusu hili wadau.
mtoa mada kaangalie tbc ndio unailipia kwa kodi sio ITV