mjinga wewe hujui kuwa hiyo ni biashara?! habari za kitaifa zipo Tv uhuru hata TBC wenyewe sometimes wanaoparate kibiashara. shangaa mambo mengine
kulikuwa na haja kusema ulichosema?,kwa ufupi ITV wamechemka,taarifa ilipaswa kusoma baada ya habari za kitaifa.
hawana akili
Heshima kwenu wakuu!
Leo wakati wa taarifa ya habari ya saa moja ITV habari ya kwanza ilikuwa kuhusu kuwasili nchini kwa wanamuziki wa kikundi cha PSquare. Mimi nilishtuka kidogo, kwa kuwa tumezoea kusikia habari muhimu kitaifa zikipewa kipaumbele wakati wa taarifa za habari.
Sasa ujio wa hawa wasanii una umuhimu gani kitaifa? Kwa wananchi wa kule vijijini ambao hawana hata uhakika wa mlo mmoja kwa siku hii taarifa ina umuhimu gani? Hata kwa wananchi walio nje ya Dar es Salaam ambao hawategemei kuhudhuria tamasha la wanamuziki hao hizi habari zina manufaa gani?
Naomba michango yenu kuhusu hili wadau.
Wale wapo kibiashara zaidi na wao wakiwa ni moja ya wadau waliodhamini ujio wa hao P-Square ni haki yao kufanya kile walichofanya, ukizingatia ujio huo utawapatia pesa nyingi zaidi za kuendelea kukiendesha kituo hicho. Usiishi kwa mazoea, endapo taarifa ya habari ya saa 1 au 12 asubuhi ingekuwa na habari za michezo nadhani ingewekwa katika kipengele hicho.
Heshima kwenu wakuu!
Leo wakati wa taarifa ya habari ya saa moja ITV habari ya kwanza ilikuwa kuhusu kuwasili nchini kwa wanamuziki wa kikundi cha PSquare. Mimi nilishtuka kidogo, kwa kuwa tumezoea kusikia habari muhimu kitaifa zikipewa kipaumbele wakati wa taarifa za habari.
Sasa ujio wa hawa wasanii una umuhimu gani kitaifa? Kwa wananchi wa kule vijijini ambao hawana hata uhakika wa mlo mmoja kwa siku hii taarifa ina umuhimu gani? Hata kwa wananchi walio nje ya Dar es Salaam ambao hawategemei kuhudhuria tamasha la wanamuziki hao hizi habari zina manufaa gani?
Naomba michango yenu kuhusu hili wadau.
lazima wewe utakuwa ni RugeHeshima kwenu wakuu!