Makonda ni naniKwakweli hamasa ni kubwa mno tangu uteuzi ulipofanyika majuzi,
Nimeondoka asubuhi ya leo Arusha, for sure matumaini, matarajio, matamanio na ndoto za wanaArusha kupiga hatua kubwa sana za kumaendeleo chini ya uongozi wa PAUL MAKONDA ni kubwa mno....
Wafanayakazi, wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, watalii, vijana, akina mama na wanawake, wazee, makundi maalumu nakadhalika na kadhalika, wana imani na MAKONDA na wana uhakika wa kusikilizwa, kero na changamoto zao kumalizwa na kufika tamati....
yanga wenyewe wanafurahi wengine tufanyejeRage anakusalimia.
View attachment 2958441
Apige kazi tu mengine tutaonaNB - Mimi sio muumini wa watumia mabavu kutawala ila napenda wachapakazi.
🤣 🤣 🤣Baada ya ujio wa Makonda nimeshudia mambo mengi na mengine yataendelea kutokea kama ifuatavyo.
1. Mji umechangamka, kila mtu anataka kusikia kauli ya mkuu wa mkoa.
2. Wakuu wa mikoa mingine wanaanza kujifunza upya.
3. Lema anahaha, muda si mrefu anaenda kukosa watu wa kwenda kwenye mikutano yake. Maana wahuni wote wanamwelewa Makonda. Bodaboda wote wanaenda kuunganishwa kikamilifu, Mama Ntilie na Machinga wote wanaenda kupewa nguvu.
4. Chadema sasa kuanza kuibua tuhuma nzito kwa Makonda.
5. Maendeleo Arusha yanaenda kuonekana na maji yatatoka masaa 24.
6. Uchaguzi wa 2025 utakuwa mwepesi sana kwa CCM.
NB - Mimi sio muumini wa watumia mabavu kutawala ila napenda wachapakazi.
mkuu wa mkoa wa Arusha 🐒Makonda ni nani
Ni sawa ndugu kwa mtazamo wako ila mbaka tuyashuhudie hayo anayoyasema yanafanyikaBaada ya ujio wa Makonda nimeshudia mambo mengi na mengine yataendelea kutokea kama ifuatavyo.