umeniacha chattlenimewaacha
bado niko chattleHaya twende sawa
Nigga unaleta uzi ili tufanye research sisi wasomaji kubaini ukweli? 😣😣Unahitajika pia kufanya research kidogo na wewe kuhusu hivi vitu lakini asilimia Kubwa ya wnajf hukimbilia kukosoa na kudisapoint kila kitu kinachowekwa hapa bila ya kufanya utafiti wao kwanza