Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,279
- 34,278
Atleast 15+ mbele!!Nimejiandaa kudownload GTA v ndani ya dakika 3 tu kitu kimejaa.
Hiyo 5g kwa Tanzania bado sana labda miaka kumi mbele.
Atleast 15+ mbele!!Nimejiandaa kudownload GTA v ndani ya dakika 3 tu kitu kimejaa.
Hiyo 5g kwa Tanzania bado sana labda miaka kumi mbele.
Ilivyoanza 1g mpaka sasa 4g, Tz ilijiandaa na nini? Tupo tupo tu.
Si kila simu ina support 4G inawezekana unatumia simu inayo support 2G na 3G pekee.
Anakuwa na 5G. Alafu hana operating systems inayofanya kazi dunia nzima kama androids, IOS na Windows ni sawa na kuwa na body ya gari uku injini haunaTrade war ni mbwembwe tu, mziki upo kwenye "nani atakua wa kwanza kugundua 5G??"
Hapa ndio kazi ipo!! Sasa jiulize kwann trump kaipiga pini kampuni ya huawei ambayo ndiye kinara wa tafiti za 5G?
Baada ya usa kuona china kampiku basi akaanza visa!!
Na china akifanikiwa tu, USA ajiandae kisaikolojia maana CHINA ATAKUA NA NAFASI KUBWA YA KUWA BIG POWER!!
NB: wakati 5G inakuja kuna maeneo tz hayana hata 2g...
Hayo ni maneno tu kibongobongo...net iko Nairobi nadhani ndiyo jiji linaloongoza kwa speed ya net Africa..nilikuwa hapo Nairobi una download hata mzigo wa 2GB kwa second 30 tu.kwa hapa Bongo utakaa hata dakika 45 Bado haha 700MB badoKwa wataalam wa Technology mtakuwa mmeshasikia ujio wa Technology ya 5G yenye downloading speed ya 20gb/sec.
Technology hii ndo itaubadilisha ulimwengu wetu to next mode of production.
Dunia yetu itakuwa ya automatic..kila kitu kitakuwa smart kwan artificial intelligence ndo itakuwa trend.sasa magari ya tesla yatakuwa yanatumika zaidi.
Smart device...kwa msaada wa 5g hata mimi nitaweza kumiliki robot sophia kwa shughuli za nyumban akasimamia yeye...
CHINA INAZINDULIWA RASMI 2020.
USA WANACHELEWA MPAKA 2025.
UK wao wakisaidiwa na China (Huawei) wamashazambaza minara nchi yooote.
Lakini kuna baadhi ya wanasayansi wana claim kwamba 5G ni hatari kibinadam na kimazingira...
5G ina uwezo wa ku control mind.
Je serikali yetu imejipangaje hapa.
Maskini Tanzania yangu! 3G tu yenyewe haijaenea nchi nzima leo unaongelea 5G!! Ya teknolojia tutaendelea kuyasikia kwa wenzetu humu tukikopi ya kuangamizana wenyewe tu!!Kwa wataalam wa Technology mtakuwa mmeshasikia ujio wa Technology ya 5G yenye downloading speed ya 20gb/sec.
Technology hii ndo itaubadilisha ulimwengu wetu to next mode of production.
Dunia yetu itakuwa ya automatic..kila kitu kitakuwa smart kwan artificial intelligence ndo itakuwa trend.sasa magari ya tesla yatakuwa yanatumika zaidi.
Smart device...kwa msaada wa 5g hata mimi nitaweza kumiliki robot sophia kwa shughuli za nyumban akasimamia yeye...
CHINA INAZINDULIWA RASMI 2020.
USA WANACHELEWA MPAKA 2025.
UK wao wakisaidiwa na China (Huawei) wamashazambaza minara nchi yooote.
Lakini kuna baadhi ya wanasayansi wana claim kwamba 5G ni hatari kibinadam na kimazingira...
5G ina uwezo wa ku control mind.
Je serikali yetu imejipangaje hapa.
Hayo ni maneno tu kibongobongo...net iko Nairobi nadhani ndiyo jiji linaloongoza kwa speed ya net Africa..nilikuwa hapo Nairobi una download hata mzigo wa 2GB kwa second 30 tu.kwa hapa Bongo utakaa hata dakika 45 Bado haha 700MB bado
Hawana lolote hao, ni kwavile wameona Mchina ndo anaanza ndo wanakuja na hayo sijui mara hivi mara watu warudi mwezini kwanza!!Jamani tatizo tunafikiria 5G na mambo ya mitandao ya simu. Kwa wenzetu ni zaidi ya mawasiliano. Ndo maana walitaka watafiti kwanza hasara/changamoto zake kabla ya kuanza kutumika. Watafiti walipendekeza mpaka 2030 tunaweza wakawa wamepunguza changamoto ndo iruhusiwe kutumika
Na hata huko mijini kwenyewe bado na kwenyewe ni changamoto!3g yenyewe haija sambaa nchi nzima hio 4g ni miji na miji mikuu sasa kuja Tz si ni kizazi kijacho
Acha ubishi usio na maana! Binafsi natumia simu ambayo ina-support 4G tena ni 2019 version lakini 4G unaitafuta kwa torch! Mtandao pekee unaonipa 4G bila zengwe ni Zantel peke yake!Si kila simu ina support 4G inawezekana unatumia simu inayo support 2G na 3G pekee.
Mimi hayo matangazo yao ya kwenye redio sijui 3g, 4g nayachukuliaga kama blaaah blaaahNa hata huko mijini kwenyewe bado na kwenyewe ni changamoto!
3G ya Halotel iko fasta kuliko 4G zozote unazoziijua wewe hapa bongo huo ndio ukweli wenyeweUtakuwa unatumia Halotel. Tigo na Voda wako 4G muda mrefu na sasa Airtel nao wameshaingia 4G.