S Shwi JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 284 Reaction score 38 Sep 21, 2014 #1 habari ndugu wapenda amani,maendeleo n.k naomba lidhaa yenu tuwe pamoja katika hoja na vihonja.najua kunabaathi tutatofautiana kwa ajili ya Chama,dini,michezo na n.k. naomba sana haya yasitokee.asanteni
habari ndugu wapenda amani,maendeleo n.k naomba lidhaa yenu tuwe pamoja katika hoja na vihonja.najua kunabaathi tutatofautiana kwa ajili ya Chama,dini,michezo na n.k. naomba sana haya yasitokee.asanteni
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,391 Reaction score 2,982 Sep 21, 2014 #2 Lidhaa=ridhaa. Karibu JF
S Shwi JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 284 Reaction score 38 Sep 21, 2014 Thread starter #3 Globu said: Lidhaa=ridhaa. Karibu JF Click to expand... nashukuru mkuu.√
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,877 Reaction score 13,869 Sep 22, 2014 #4 krb sana hapa jamvini JF mjomba....................
Lorisy Member Joined Aug 21, 2012 Posts 74 Reaction score 36 Sep 25, 2014 #5 karibu sana jf,jitahidi uwe unachungulia jukwaa la lugha
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,155 Reaction score 111,066 Sep 29, 2014 #6 Karibu sana JF...