Ujinga wetu ndio unaotuumiza ktk madini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujinga wetu ndio unaotuumiza ktk madini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Jun 19, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wana JF
  sasa nimekubali kuwa Barick wanatumia ujinga wetu na umbumbu wa viongozi kuto kujua sheria kutufanyia haya yanayotokea sasa,kama huamini hebu soma hapa chini

  [​IMG]

  In countries like Australia, Chile, Papua New Guinea and Tanzania, Barrick takes advantage of inadequate and poorly enforced regulatory controls to rob indigenous people of their lands, destroy sensitive ecosystems and agricultural land, support brutal police and security operations, and sue anyone who tries to report on it. In the context of this libel chill, Barrick has branded itself as the socially responsible mining giant and boasts its listing on the Dow Jones Sustainability Index.
  Behind the scenes, Barrick has been singled out [1,2] as the company most involved in the lobbying effort to stop private member's bill C-300. This bill would withdraw government funding and diplomatic support for companies found – after an investigation – to be abusing human rights or violating international environmental norms.

  kwenye nyekundu inaonyesha kuwa yale mauaji ya wenzetu kule mgodini polisi na viongozi wetu walipewa chao.

  swali
  kwanini hii serikali inawafanyia hivyo watu wake?

  lakini pia angalia jinsi hii kampuni inavyo umiza wazawa ktk nchi nyingine
  1,[h=2]Barrick's Bodysnatchers: Wanton killings, criminalization, and degradation continue at the North Mara Mine in Tanzania[/h]
  [​IMG]

  2.[h=2]Customary Land Rights in Papua New Guinea loses to Mining Rights in National Court Decision.Landowners appeal to United Nations for support[/h]
  3.[h=2]Social Conflict leaves seven dead at the hands of Barrick security in Tanzania[/h]
  [​IMG]

  watanzania wakiokota mawe ya dhahabu Mgodini

  4.[h=2]FRIENDS OF THE EARTH INTERNATIONAL JOINS PROTESTS AGAINST BARRICK GOLD ‘Barrick Gold Clean Up Your Act! Right to Life Over Gold Profits'[/h]
  5.
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hii nchi ni shamba la bibi
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ukiwauliza serikali ya magamba utaambiwa tu-chadema walichochea fujo.Wao wanaipamba serikali sikivu inayowajali wananchi.Siku inakuja Mwenyezi atawaonyesha kwamba wanavyowafanyia watu sio haki.Adhabu yao ni hapapa duniani.
   
 4. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ukiwauliza serikali ya magamba utaambiwa tu-chadema walichochea fujo.Wao wanaipamba serikali sikivu inayowajali wananchi.Siku inakuja Mwenyezi atawaonyesha kwamba wanavyowafanyia watu sio haki.Adhabu yao ni hapapa duniani.
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hapana watakuwa wanawaonea CDM wachawi ni wenyewe sirikali kwani inavyo onyesha hawa jamaa wa Mgodi wamekuwa na tabia ya kuhonga serikali na kuwa umiza wananchi na sasa Dunia imetambuwa janja yao,ingawaje serikali yetu bado inadai inatetea maslahi ya mwekezaji lakini nyuma ya pazia walisha kula chao
   
Loading...