Ujinga wangu umeniponza

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,902
Siku ambayo nitapewa nafasi na mwenyezi mungu niseme nani unataka akusamee ambae hataki kukusamehe ningemwambia anirudishie mpenzi wangu wa kwanza kabisa aitwae clara,

maana ujinga wangu ndio ulifanya nimpoteze ,nisamehe sana clara wangu
 
Acha sound wewee kwaiyo ndo unamtongoza tena kiujanja? We Clara ulishapewa nafasi ya kumjua huyu mtu kuwa ni MJINGA sasa wewe rudia uone!
 
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Siku ambayo nitapewa nafasi na mwenyezi mungu niseme nani unataka akusamee ambae hataki kukusamehe ningemwambia anirudishie mpenzi wangu wa kwanza kabisa aitwae clara,

maana ujinga wangu ndio ulifanya nimpoteze ,nisamehe sana clara wangu
Majuto ni mjukuu. .na ukisusaa wenzio wala yakhe
 
Acha uboya... Ulijiona wewe ndio kidume pekee....??...
 
Nipo nae hapa namnyonyoa manyoya anasema hataweza kurudiana nawe mpaka urefuke.
 
Siku ambayo nitapewa nafasi na mwenyezi mungu niseme nani unataka akusamee ambae hataki kukusamehe ningemwambia anirudishie mpenzi wangu wa kwanza kabisa aitwae clara,

maana ujinga wangu ndio ulifanya nimpoteze ,nisamehe sana clara wangu
Unaisi Kwann? Clara alikuacha?
 
Siku ambayo nitapewa nafasi na mwenyezi mungu niseme nani unataka akusamee ambae hataki kukusamehe ningemwambia anirudishie mpenzi wangu wa kwanza kabisa aitwae clara,

maana ujinga wangu ndio ulifanya nimpoteze ,nisamehe sana clara wangu
Clara alikuwa mrefu?
 
Mkuu mbona maelezo hayajitoshezi. Hebu funguka, ilikuwaje kuwaje? Mpaka ukafanya ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…