Baadhi hula kila chakula kwa pilipili, hawa watu wanakosa mengi sana kwenye chakula, hawajui hata ladha ya chakula ni ipi wanajua ladha ya pilipili tu, unakuta mtu msosi mpya wa nguvu anajaza pilipili sasa ladha ya msosi utaijulia wa wapi?
mi hata limau nimeacha kuweka kwenye supu naona sipati ladha halisi ya supu, pilipili nayo nimeacha ili nipate ladha nzuri ya chakula bila uchachu wa limau na ukali wa pilipili