Ujinga wa wachambuzi wa clouds kutetea makosa ya refa mechi za Yanga

Kama Ni wapuuzi unawasikiliza wa nini?

Mpira wa leo tukiweka ushabiki pembeni mayele kakumbatiwa ndani ya box wakati anataka kupiga tikitaka mpira hiyo Ni clear penalty.

Kadi nyekundu ni halali Yule Yule Baki alikuwa beki wa mwisho Ni juzi tu beki wa Manchester city alipewa kadi Kama hiyo kwenye mechi yao na palace.

Tatizo la wabongo tunaangalia Mpira kwa ushabiki wa Simba na yanga
 
Nawakumbusha timu ya Namungo haina wachezaji watoto kiumri kama wale Coastal union

Abdulaziz Makame
Obrey chirwa
Lucas kikoti
Reliants Lusajo
Blaise Bigirimana
Shiza kichuya
Haruna shamte
David Molinga "Falcao"
Sixtus sabilo
Baraka Mtuwi
Jonathan Nahimana(Golie wa viwango huyu)

Wanangu wa Namungo kesho naomba sare tu
 
Yanga tumeambiwa tusiwe na viburi, kwahyo hatuna kelele nyingi

Another 3+Points, 5 matches with 15 Points and top of the table

NB:Kesho Makolo wanacheza na Namungo, kuna harufu ya kupoteza tena point 2 inanukia

Wanangu wa Namungo naomba sare tu inatosha
 
Nawasikiliza hawa jamaa, ni wapuuzi kweli.

Yaan refa kushindwa kustahimili mchezo kisa presha na ujanja wa wachezaji na mashabiki

Kwao wanaona ipo poa tu.
Sisi tunachijua tumeshinda goli 3 na point 3 hayo mengine mnayajua ninyi
 
Mpira sio tenis..kukumbatiwa ni sehemu tu ya mchezo.
Kama Ni wapuuzi unawasikiliza wa nini?

Mpira wa leo tukiweka ushabiki pembeni mayele kakumbatiwa ndani ya box wakati anataka kupiga tikitaka mpira hiyo Ni clear penalty.

Kadi nyekundu ni halali Yule Yule Baki alikuwa beki wa mwisho Ni juzi tu beki wa Manchester city alipewa kadi Kama hiyo kwenye mechi yao na palace.

Tatizo la wabongo tunaangalia Moira kwa ushabiki was Simba na yanga
 
Back
Top Bottom