Ujinga wa Mwafrika kupenda kujiita majina ya nje ya bara lao la Africa

Acha ujinga,hivi kuna watu wapumbavu kama wa Dini ya jumlisha yaani kiongozi anaendesha Hummer lakini waumini hata baskeli hawana, huu ni ujambazi uliokithiri amkeni watu wa alama ya jumlisha
naona imekugusa mtoa mada kazungumzia nje ya Africa lakini wachangiaji wamebase kwa wazungu tu nikaona bora niwakumbushe na upande wa wavaa magagulo na vilemba kama umeumia pole
 
Kweli kabisa mm naitwa gashalazeritwasi Kwa chizungu ni (gas galas write as I )
 
haya majina yameletwa na hizi dini, anzeni kukata dini zao kwanza ndo mje kwenye majina.

ni unafiki kukataa jina wakati umekumbatia dini yake
Sio kweli Dini yetu ya ukristo na Majina hayana mahusiano
Hakuna mtakatifu George bali kuna King George
Nampongeza sana Marehemu Mobutu,,alipitisha sheria ya wakongomani kuitwa majina yakingomani
Mobutu seseseko
 
kumbe hata ubacho kipigania hukijui kwamba dini ya kikristo haina uhusiano na majina.

kabla ya kuitwa julius k. nyerere aliitwa nani? na kwa nini ilikuwa muhimu kuchukua jina jipya na sio la kiafrika/kabila lake.

acha porojo, toka kwenye dini izo ndo ukatae na majina yao.
 
Ukimaliza hiyo Sheria masufuria myatupe mrejee kwenye vyungu mpikie, na Computer na simu muache kutumia mjini mje na punda na mjifunike na ngozi mkitembea....

Kuna Watu akili zao zipo makalioni hawajui wanaenda wapi na hawajui walipotoka yaani wamekuwa wapumbavu pumbavu tu.

Yaani akili zao zzinawaza miaka mia nyuma. ni watu hatari sana nyie maana ndio Ajenda ya Boko Haram hiyo hawataki elimu ya kimagharibi... huku bidhaa zote wanatumia za kimagharibi..
Unajiaibisha
 
Napendekeza hapa kwetu Tanzania itungwe sheria lazima mtoto akizaliwa apewe Jina lenye la kiafrica au kibantu, nawapongeza sana Wanyakyusa sana kwa kudumisha mila na desturi zao

Mimi langu Midumare Iwato Ngatuni Nabila midimito Mbasha,

Karibuni sana ndugu zangu wenyekuchangia vema ili tuweze kuokoa kizazi chetu kiondokane na utamaduni wang'ambo
Kweli Wanyakyusa wamejitahidi, japo wapo wasomi wengi tu wa kiNyakyusa wanaendelea kuzuzuka na najina ya wazungu. Mifano michache ya majina ya kiNyakyusa: wavulana wengi huitwa: Anganile - Ananipenda. Aswile - Amenisamehe. Ambumbulwisye - Amenichangamsha. Ambokike - Ameniokoa. Angolwisye - Ameniongoza. Ambele - Amenipa. Ahobokile - Amenionea huruma. Gwamaka - Mwenye nguvu. Gwalugano - Mwenye upendo, nk. Kwa wasichana: Tunosigwe - Tumefanywa wema. Tosigwege - Tubatizwe. Atuganile - Anatupenda(Mungu). Atupokile - Ametuokoa. Kisa - Rehema. Ntuli - Msaidizi. Twabwike - Tumewekwa huru, nk. Pamoja na dini waliyoletewa Wanyakyusa walibuni majina ya lugha yao yaliyoendana na dini hizo za kigeni. Hawakujihangaisha na John, David Mary, Rebecca, Edward, Benjamin, Julius, Jessica, Anna, Janet, Job, Kassim, Mohammed, nk. A truly nice precedence set by the Nyakyusa. Hatujachelewa. Tuamke na kubadilika. Wanadamu tumeumbwa daima kujitambua, tatizo hatuchukui maamuzi kwa wakati. Nimetafiti sana lakini sijaona mzungu akiitwa kwa mfano Gwalugano au Matonya au Nkapa
 
Asante sana,,,Mimi mchagga ila nawatambua sana wanyakyusa wanamajina mazuri sana katika nchii hii
Mfano Mimi babu zangu walikuwa na Majina Mazuri sana
Mfano
Mtali mushi kimboka
Midumare mushi kimboka
Nabila mushi kimboka
Iwato mushi kimboka
Mbasha mushi kimboka
Ngatuni mushi kimboka
Nk
Ila now kazi sana Mariagoleti Joseph philipo
 
Kweli Wanyakyusa wamejitahidi, japo wapo wasomi wengi tu wa kiNyakyusa wanaendelea kuzuzuka na najina ya wazungu. Mifano michache ya majina ya kiNyakyusa: wavulana wengi huitwa: Anganile - Ananipenda. Aswile - Amenisamehe. Ambumbulwisye - Amenichangamsha. Ambokike - Ameniokoa. Angolwisye - Ameniongoza. Ambele - Amenipa. Ahobokile - Amenionea huruma. Gwamaka - Mwenye nguvu. Gwalugano - Mwenye upendo, nk. Kwa wasichana: Tunosigwe - Tumefanywa wema. Tosigwege - Tubatizwe. Atuganile - Anatupenda(Mungu). Atupokile - Ametuokoa. Kisa - Rehema. Ntuli - Msaidizi. Twabwike - Tumewekwa huru, nk. Pamoja na dini waliyoletewa Wanyakyusa walibuni majina ya lugha yao yaliyoendana na dini hizo za kigeni. Hawakujihangaisha na John, David Mary, Rebecca, Edward, Benjamin, Julius, Jessica, Anna, Janet, Job, Kassim, Mohammed, nk. A truly nice precedence set by the Nyakyusa. Hatujachelewa. Tuamke na kubadilika. Wanadamu tumeumbwa daima kujitambua, tatizo hatuchukui maamuzi kwa wakati. Nimetafiti sana lakini sijaona mzungu akiitwa kwa mfano Gwalugano au Matonya au Nkapa
hizi tafiti zenu zinanichekesha, izi athari za majina yetu kwao zinawakutaje, sisi zimetukuta kupitia dini, ukoloni,vitabu, sinema na ufadhiri wao sehemu mbalimbali.

wewe una kipi cha kumfanya apokee majina toka kwako
 
Upo vizuri katika swala zima la kujitambua. Hakika nakwambia Wa-Afrika wengi wenye majina yenye asili ya nje ya bara la Africa kwa asilimia 70-80 hawajui maana ya hayo majina. Fanya uchunguzi kwa rika zote waulize maana ya majina hayo yenye asili za nje za bara la Africa. Mimi huwa nakosa amani kabisa naposikia mwafrika mwenzangu anaitwa jina la kigeni ambalo yeye mwenyewe hajui linamaana gani. Huku kwetu kuna mtoto anaitwa Jumong na mwingine alikuwa anaitwa Mbushi akabadili sa ivi anaitwa Bush. Mimi naitwa Jamhuri Nyasi Mwakamajoka.
 
Wanaita hayo majina wakidhani watoto wao watakuwa kama hao wenye hayo majina. Mfano, mtu anamwita mwanae Jaden utadhani atakuwa kama Jaden Smith hahaha. Wanangu wote nimewapa majina ya kiasili regardless of their meanings.
Mmoja anaitwa Nyabasi Nyamuhanga Chacha, mwingine anaitwa Rehema Nyamuhanga Chacha.
 
Sasa kama mtu kagundua umeme na ukatusaidia na ukabadirisha kabisa maumbile ya dunia kwanini tusitumie jina lake, mfano ukaitwa Lincoln Lambert, alafu ukaja wewe muafrika hujagungua chochote wala uumizikichwa kusaidia dunia na ukiwa na jina kama Mbega, Ngosha, Njechele mara mkorosho kiroba mara sijui mzee Nyakilungi.
 
HATA UKAJIITA MKUN** BADO HAINA MAANA YOYOTE, MAJINA NI MAJINA TU, SANA SANA WEWE NDO MPUUZ UNAYEFANYA JINA IONEKANE BIG ISHU.
 
Back
Top Bottom