‘Ujinga’ wa CHADEMA na Katiba Mpya

CCM SYO YA MAMA SAMIA PEKEE ,HATA KIKWETE ALISEMA HATA UWE NA MAPEMBE MAKUBWA KIASI GANI WATAYAKATA ,HATA JPM AMEIACHA CCM INAENDELEA,POLITICAL LEGILTMACY YA CCM SIYO YA MAMA SAMIA PEKEE ,CCM NI DUBUASHA KUBWA,HATA KIKWETE ALIKUA NA NIA NJEMA,ILA ALIGONGA MWAMBA
 
Jamaa ana point sana

Msiwekeze kwenye watu, wekeni mifumo
CHADEMA INATAKIWA KUWEKEZA,MFANO LEO CCM IKITAKA KUKUTANA NA KIONGOZI WA WAFUGAJI KANDA YA ZIWA HAWEZI KUANGAIKA ,NA HATA IKIOMBA MICHANGO YAO NA CHANGAMOTO ZAO CCM HAWATAHANGAIKA,

.HAYA CHADEMA WATUAMBIE WANAKIKUNDI GANI CHA WAFUNGAJI WANACHOKIPAMBANIA KANDA YA ZIWA?

.WAKULIMA WA CCM WANAANZIA NGAZI YA UBALOZI NA WENGINE WAMEJIUNGA KWENYE USHIRIKA,RUZUKU YA MBOLEA YA SERIKALI IKITOLEWA INAWAHUSU MOJA KWA MOJA VIJANA WA CCM , VIJANA WA CHADEMA MUDA MWINGI MNAWAPA PROPAGANDA, MATOKEO YAKE VIJANA WANABAKI MASIKINI NA TEGEMEZI , UCHAGUZI UNAFIKA WANAUZA SHAHADA ZA KUPIGIA KURA,MNASHINDWA UCHAGUZI MNABAKI KULALAMA MMEIBIWA KURA.

.VIJANA WA CCM LINAPOKUJA SWALA LA UCHAGUZI UNASHANGAA HAWA WATU WAMETOKA WAPI?WENGINE HUJAWAHI KUWAONA HATAMIAKA MITANO ,UNASHANGAA NA HUYU YUPO
 
nadhani tumekubaliana sasa kua ccm ndo baba wamageuzi nchini,hawa ndo wa kuikuza democry,lakini ikumbukwe hata baada ya uhuru nchi yetu ilikuwa na vyama vingine,hata hivyo vilifutwa, hadi miaka ishirini inapita,
"SASA MTAGEUZWA GEUZWA HADI LINI?JPM AIIWAGEUZA,HAKUNA MLICHOFANYA,
HOJA YANGU KUU NI KUA NA MTAJI WA WATU,NA KUITAZAMA CHADEMA INAWAPIGANIA WATU,
 
Kuna mambo yameanza toka zamani kumbe mi nilijua hivi juzi kati hapo.
 
Kumbe alishauri tu. Nilijua kuwa yeye ndio aliamua na kutia saini sheria ya kuanzisha vyama vingi.
 
Ni mpumbavu tu anaweza kubeza KATIBA MPYA
 
Nadhani wewe ndio mjinga mpaka hapo. Una Elimu ila huna akili.
 
Kumbe alishauri tu. Nilijua kuwa yeye ndio aliamua na kutia saini sheria ya kuanzisha vyama vingi.
Bado ulikua mdogo, huwezi kuelewa,, Nyerere ndo alikua kila kitu, akisema amesema,, alikuja kukwama tu kwa Benjamini mkapa😂😂
 
Nyerere aliruhusu vyama vingi kivipi na wakati katika utawala wake chama kilikuwa kimoja tu ambacho ni CCM.
Mleta mada unaweza kutuambia ni wapi katika utawala wa Nyerere aliruhusu vyama vingi?
hilo ni kweli, yeye kama mwenyekiti wa chama, kwenye vikao vyao wana ccm hawakutaka mfumo wa vyma vingi ila yeye mwl. kwa kutumia rungu lake la uenyekiti, aliruhusu
 
Kama ulifuatilia kampeni za refrundum kenya kupata katiba mpya,, kulikua na makundi, orange, Ndizi, etc,, kampeni zilikua kama za uchaguzi mkuu,, bahati ya kenya ni kwamba vyama vyote vina nguvu karibu sawa,, iwe nguvu ya pesa au watu,,
Hivyo kampeni huwa zinafanywa kwelikweli,,
Hapa Tanzania shida vyama vya upinzani bado legelege kiuchumi na kwa watu pia, hawana majority,, hivyo wasitegeemee katiba wanayoitaka wao itapita,,
Bila ushawishi wa watu, huwezi kutegemea kikundi kidogo cha watu hawazidi 20(mbowe, lisu, zito, henche, martin, mnyika, etc...)eti kipambane na wanaccm karibu milioni 2 kwenye kampeni za kushawishi uungwaji mkono,,
Katiba haitatoka kama fadhila kwa upinzani,, majority ndo watapitisha katiba, au la labda zitumike busara za viongozi wa juu
 
90%? Hii chai 🤣🤣
 
hilo ni kweli, yeye kama mwenyekiti wa chama, kwenye vikao vyao wana ccm hawakutaka mfumo wa vyma vingi ila yeye mwl. kwa kutumia rungu lake la uenyekiti, aliruhusu
Lilikua pia ni takwa la IMF,, ambao waliweka masharti,, kwamba, elimu, afya bure, iwe marufuku, watu waanze kuchangia(cost sharing),uchumi uwe free(free economy),serikali isipange bei ya bidhaa, iamuliwe na masoko, structural adjustment programe, kupunguza watumishi(redundancy),
Ubnafsishaji na kuruhusu mfumo wa vyama vingi(democracy)
 
90%? Hii chai 🤣🤣
Ni kweli, wewe unadhani wannchi wangekuwa tayari kwa mageuzi, vyama vya upinzani vingekua tayari vilishashika nchi,
Sehemu pekee waliyo tayari kwa mageuzi ni zanzibar...
 
nakubali asilimia 100%

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
Ndiyo maana tunashauri vyama vya upinzani viwe na political machines kwenye ngazi zote kuanzia vitongojini mpaka taifa zikiwa na wanaitikadi wa kutosha na units za uchumi hata zikiwa mali binafsi ya wanachama!

Kwa hali ya upinzani ilivyo sasa,
hivyo vyama ni kama bado vipo kwenye makaratasi tu.

Nchi ni kama vile bado ni ya chama kimoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…