Wao chadema wanadhani itapitishwa katiba anayoitaka Lisu😁😂😂,it cant be,, lazima ipitishwe katiba ya wengi, sio ya kikundi cha watu kumi, mbowe, lisu, mnyika, henche, sugu, msigwa, etc,.hebu fikria mama samia alitoka wapi kwenye bunge la katiba?
tatizo la chadema wanataka kupewa katiba kwa hisani,kama mwl nyerere alivyoruhusu vyama vingi vya siasa,
.ccm ina asasi nyingi zilizosajiriwa kwa makundi mbalimbali kama vile vyama vya wakulima na vyama vya ushirika ,na ukisoma ilani ya ccm inahimiza wana ccm kujiunga na ushirika,Nb inapotokea watu wawakilishi wa kundi la wakulima wanajitokeza kwa haaraka zaidi ila Chadema hawana hata chama kimoja cha ushirika ,inapotokea kupitisha maamuzi chadema wanasusa,
.haya vyama vya wafanyakazi,mfano CWT mmeona teuzi za madc ,utaona kiongozi ameteuliwa,hawa ikitokea bunbge la katiba wataangaliwa watu muhimu wanaounga mkono hoja,CHADEMA wapo tu wala hawataki kuunda vyama vya wafanyakazi,na kuna wafanya kazi wengi tu ambao ni wafuasi wenu,hawa kina kibatala kazi yao ni ipi?,
.vyama vya wafugaji vingi ni vya wanaccm,nakwenye bunge la katiba walikuwapo na leo wengine ni mawazili,ila ukiwauliza vijana wa. chadema wafugaji kanda ya ziwa hutawaona ,utawaona kwenye kahawa,
KATIBA siyo tumehuru ya uchaguzi ,ni mahitaji ya makundi tofauti tofauti,acheni ujinga,
🤗😂,Ulikua bado mdogo, miaka ya 90,, kulifanyika kura ya maoni,, kuamua nchi iwe na vyama vingi au lah,Nyerere aliruhusu vyama vingi kivipi na wakati katika utawala wake chama kilikuwa kimoja tu ambacho ni CCM.
Mleta mada unaweza kutuambia ni wapi katika utawala wa Nyerere aliruhusu vyama vingi?
Nyie wajinga ndio maana mnatetea ujinga wa CCM siku zote huku mkilalamika maisha magumu…!.hebu fikria mama samia alitoka wapi kwenye bunge la katiba?
tatizo la chadema wanataka kupewa katiba kwa hisani,kama mwl nyerere alivyoruhusu vyama vingi vya siasa,
.ccm ina asasi nyingi zilizosajiriwa kwa makundi mbalimbali kama vile vyama vya wakulima na vyama vya ushirika ,na ukisoma ilani ya ccm inahimiza wana ccm kujiunga na ushirika,Nb inapotokea watu wawakilishi wa kundi la wakulima wanajitokeza kwa haaraka zaidi ila Chadema hawana hata chama kimoja cha ushirika ,inapotokea kupitisha maamuzi chadema wanasusa,
.haya vyama vya wafanyakazi,mfano CWT mmeona teuzi za madc ,utaona kiongozi ameteuliwa,hawa ikitokea bunbge la katiba wataangaliwa watu muhimu wanaounga mkono hoja,CHADEMA wapo tu wala hawataki kuunda vyama vya wafanyakazi,na kuna wafanya kazi wengi tu ambao ni wafuasi wenu,hawa kina kibatala kazi yao ni ipi?,
.vyama vya wafugaji vingi ni vya wanaccm,nakwenye bunge la katiba walikuwapo na leo wengine ni mawazili,ila ukiwauliza vijana wa. chadema wafugaji kanda ya ziwa hutawaona ,utawaona kwenye kahawa,
KATIBA siyo tumehuru ya uchaguzi ,ni mahitaji ya makundi tofauti tofauti,acheni ujinga,
Wao chadema wanadhani itapitishwa katiba anayoitaka Lisu😁😂😂,it cant be,, lazima ipitishwe katiba ya wengi, sio ya kikundi cha watu kumi, mbowe, lisu, mnyika, henche, sugu, msigwa, etc,
Mimi nachojua, kwenye katiba mpya ijayo, watasusa tena na tutarudi kulekule,
Huwezi unda katiba unayoitaka, kama hauna majority ya ku effect maamuzi,
🤗😂,Ulikua bado mdogo, miaka ya 90,, kulifanyika kura ya maoni,, kuamua nchi iwe na vyama vingi au lah,
Matokeo asilimia 90 ya wananchi wakataka nchi iendelee na chama kimoja,,
Jk Nyerere ndo akashauri, kinyume namaamuzi ya wananchi, kwamba, Tufuate mfumo wa vyama vingi,
Uchaguzi wa vyama vingi wa kwanza ukafanyika 1995.
Hivi nchi zingine zilizoandika Katiba za wananchi walitanguliza huo ujinga unaosema? Kwani viongozi hawawezi kutanguliza maslahi ya wananchi?Wao chadema wanadhani itapitishwa katiba anayoitaka Lisu😁😂😂,it cant be,, lazima ipitishwe katiba ya wengi, sio ya kikundi cha watu kumi, mbowe, lisu, mnyika, henche, sugu, msigwa, etc,
Mimi nachojua, kwenye katiba mpya ijayo, watasusa tena na tutarudi kulekule,
Huwezi unda katiba unayoitaka, kama hauna majority ya ku effect maamuzi,
bro wanatakiwa kujua hata makanisa yapo hadi ya ccm,mfano gwajima,siku wakisikia gwajima anawakilsha walokele nadhni wataandamanaWao chadema wanadhani itapitishwa katiba anayoitaka Lisu[emoji16][emoji23][emoji23],it cant be,, lazima ipitishwe katiba ya wengi, sio ya kikundi cha watu kumi, mbowe, lisu, mnyika, henche, sugu, msigwa, etc,
Mimi nachojua, kwenye katiba mpya ijayo, watasusa tena na tutarudi kulekule,
Huwezi unda katiba unayoitaka, kama hauna majority ya ku effect maamuzi,
kama ndio hivyo mbona haikua katibaMaoni yalikusanywa na tume ya jaji Warioba, na tume ile iliuundwa kisheria. Ufahamu kuwa ilizunguka Tanzania nzima. Hivyo unapoongea huu utoto wako ujue nini unaongea.
Kwa nini haujui kanuni za uandishi weye lichawa?Umejibanza kwenye kuhisihisi kama kobe..hebu fikria mama samia alitoka wapi kwenye bunge la katiba?
tatizo la chadema wanataka kupewa katiba kwa hisani,kama mwl nyerere alivyoruhusu vyama vingi vya siasa,
.ccm ina asasi nyingi zilizosajiriwa kwa makundi mbalimbali kama vile vyama vya wakulima na vyama vya ushirika ,na ukisoma ilani ya ccm inahimiza wana ccm kujiunga na ushirika,Nb inapotokea watu wawakilishi wa kundi la wakulima wanajitokeza kwa haaraka zaidi ila Chadema hawana hata chama kimoja cha ushirika ,inapotokea kupitisha maamuzi chadema wanasusa,
.haya vyama vya wafanyakazi,mfano CWT mmeona teuzi za madc ,utaona kiongozi ameteuliwa,hawa ikitokea bunbge la katiba wataangaliwa watu muhimu wanaounga mkono hoja,CHADEMA wapo tu wala hawataki kuunda vyama vya wafanyakazi,na kuna wafanya kazi wengi tu ambao ni wafuasi wenu,hawa kina kibatala kazi yao ni ipi?,
.vyama vya wafugaji vingi ni vya wanaccm,nakwenye bunge la katiba walikuwapo na leo wengine ni mawazili,ila ukiwauliza vijana wa. chadema wafugaji kanda ya ziwa hutawaona ,utawaona kwenye kahawa,
KATIBA siyo tumehuru ya uchaguzi ,ni mahitaji ya makundi tofauti tofauti,acheni ujinga,
kwani wana ccm siyo sehemu ya wananchiHivi nchi zingine zilizoandika Katiba za wananchi walitanguliza huo ujinga unaosema? Kwani viongozi hawawezi kutanguliza maslahi ya wananchi?
CHADEMA mnaitwa huku.hebu fikria mama samia alitoka wapi kwenye bunge la katiba?
tatizo la chadema wanataka kupewa katiba kwa hisani,kama mwl nyerere alivyoruhusu vyama vingi vya siasa,
.ccm ina asasi nyingi zilizosajiriwa kwa makundi mbalimbali kama vile vyama vya wakulima na vyama vya ushirika ,na ukisoma ilani ya ccm inahimiza wana ccm kujiunga na ushirika,Nb inapotokea watu wawakilishi wa kundi la wakulima wanajitokeza kwa haaraka zaidi ila Chadema hawana hata chama kimoja cha ushirika ,inapotokea kupitisha maamuzi chadema wanasusa,
.haya vyama vya wafanyakazi,mfano CWT mmeona teuzi za madc ,utaona kiongozi ameteuliwa,hawa ikitokea bunbge la katiba wataangaliwa watu muhimu wanaounga mkono hoja,CHADEMA wapo tu wala hawataki kuunda vyama vya wafanyakazi,na kuna wafanya kazi wengi tu ambao ni wafuasi wenu,hawa kina kibatala kazi yao ni ipi?,
.vyama vya wafugaji vingi ni vya wanaccm,nakwenye bunge la katiba walikuwapo na leo wengine ni mawazili,ila ukiwauliza vijana wa. chadema wafugaji kanda ya ziwa hutawaona ,utawaona kwenye kahawa,
KATIBA siyo tumehuru ya uchaguzi ,ni mahitaji ya makundi tofauti tofauti,acheni ujinga,
Uhuni huohuo ni Nyerere yupi atawasaidia? Mwanaccm huyohuyo ambae ni warioba ndo mnaitaka rasimu yake, haya kwenye bunge la katiba kilitokea nini?Maoni yale yalikusanywa na wañaccm, na wakafanya hila kwenye dodoso zile, huku wakiwatisha wananchi. Usidhani hatujui uhuni uliokuwa unaendelea. Nyerere kwa kujua uhuni wa chama chake akapitisha mfumo wa vyama vingi, maana alijua kiwango cha uhuni kilichokuwa kinaendeshwa na Makada wa chama chake kwenye kukusanya maoni.
wanapambana na marehemuUshauri wa bure huo,na pia ni ushauri wa msingi,tatizo chadema wamejipa kazi ya kupambana na Hayati magufuli,
hata bunge la katiba liliundwa kisheria,mlipo pigiwa ni kudhani makundi yote yalioingia ni ya upidhani,hapo mtachemka sanaMaoni yalikusanywa na tume ya jaji Warioba, na tume ile iliuundwa kisheria. Ufahamu kuwa ilizunguka Tanzania nzima. Hivyo unapoongea huu utoto wako ujue nini unaongea.
Una akili weweWao chadema wanadhani itapitishwa katiba anayoitaka Lisu😁😂😂,it cant be,, lazima ipitishwe katiba ya wengi, sio ya kikundi cha watu kumi, mbowe, lisu, mnyika, henche, sugu, msigwa, etc,